Kama pesa ni yao sawa ila kama ni kodi hapana wananchi wana matatizo mengi kwa safari za namna hiyo hata jpm alikuwa hataki kuzisikia kabisa angekuwa hao leo hiî ungesikia mengine kabisa
Mkuu hujaelewa nini hapo?mbona ni lugha rahisi tu? hiyo safari haikupaswa ufanyike kwa kuwa haikuwa na tija.pesa imetumika vibaya kwa vitu vya hovyo.unaenda kupumzika siku moja bila sababu ya msingi!
Uongozi wa bodi ya mikopo unatakiwa uangaziwe upya.kila mwaka shida zinaongezeka badala ya kupungua.kusomea shule binafsi kumekuwa mwiba kwa bodi bila kujali huenda aliyemsomesha kustaafu,kasomeshwa na mfadhili ambaye hawezi kumsomesha tena kwa sababu mbalimbali,au aliyemsomesha hana uwezo tena...
Katiba ni sheria mama.kama magari ya serikali yanabeba nyara za serekali,majani ya ng'ombe,mkaa,nk na hakuna anayejali unategemea nini kifanyike kama siyo katiba ambayo itatoa mwanya pia kwa sheria nyingine kubadilishwa?
Ni wazo nzuri sana lakini kwa nchi hiî na mifumo tulionayo ni kazi bure.hata zikiwekwa stika ni kazi bure zitabanduliwa tu.kimsingi marubaini ya yote hayo ni katiba tu.katiba tuliyonayo inawapa mwanya waharifu kutenda wanavyojisikia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.