nyi hangaikeni tu, what matters is how you can use a particular language to develop a program that is impressive and marketable, how good you are in that language is a key concept of what makes a developer most wanted
ccm hawana viongozi wanao tumia akili, nasisitiza tena kuwa ccm hawana viongozi wanaotumia akili
hoja ni hivi: ccm ni chama kilichoko madarakani hakipaswi kushindana na cdm kwa hoja wala mikutana wala chochote kinavyo hangaikia sasa
,viongozi wa ccm wanatakiwa wafanye vifuatavyo la sivyo ndio...
all because of ccm thieves
'kujivua gamba'!!!!!!!!!!
rudisheni hela mlizoiba kwanza ndo muendelee na uongo mwingine
wanagawana rasilimali na hela za wananchi kama za ukoo!!!!!!!
kama amani huja kwa ajili ya wanyonywaji 'wananchi' kuvumilia wanyonyaji 'ccm' kuendelea kuwanyonya basi mwisho wa...
hakuna wazirudishe! nasisitiza wazirudishe kwani sio zao ni za wananchi wala sio kwa ajili yao, walaaniwe kwa kuwafanya wananchi waishi kama ombaomba. kama walijua wao ni wezi kwanini walikimbilia kutawala? kwani watu wasafi hawapo wa kutuongoza? kila siku ombaomba, na watoto wa mitaani...
1st waruhusu mabadiliku ya katiba kwa roho moja bila unafiki
2nd warudishe hela zote walizoiba na vigogo wa ccm, sisi tutawasamehe wakirudisha zote nasisitiza hela zote walizo iba kutoka kwa wananchi
wakifanya hivyo watarudisha imani kwa wananchi
it is stupid to support stupid matters, mwenye akili nzima hawezi kuwa support ccm ku-take advantage kutotenda haki. it is silly enough beyond explanation, kwanini wasiwasubiri wafanye kikao kwa amani
haya ni sawa na mchawi anakuroga unamshtaki alafu unaulizwa "ushahidi uko wapi?", ccm wako so technical wanafanya mambo, mtu mwenye uelewa wa mambo ataelewa
mi nashangaa sana hao polisi, hawana hata shukrani. hizo nyumba ni zaidi fadhila kwao kwani wanastahili kulala misituni, sisi nyumbani hatujajengea mbwa nyumba, mpaka sasa sijaona wanacholalamika
come on guys, dont be fulls, huyo ni swara amepitia genetic changes kidogo, mbona kuna wanawake wana ndevu. wangekuwa ni wangi tungesema hivyo lakini ni mmoja tu! ameundergo genetic change
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.