Recent content by rodrick alexander

  1. R

    Chilambo, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 3 hadi 4

    Kuna watu walikuwa wanaombea akae nje miezi 6.
  2. R

    Siyo mara ya kwanza Simba kuwa na mgogoro wa namna hii

    Kwenye miaka ya 70 kulitokea mgogoro katika timu ya Simba kati ya waliojiita wasomi na wanachama wengine wa Simba kuhusu namna ya uendeshaji wa timu. Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa mamlaka ya bandari, reli na taasisi za serikali walitaka timu iendeshwe kisasa matokeo yake wengine waliondoka...
  3. R

    Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Hakuna anayeta mo aondoke ila wanataka afate utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa katiba na sio kupora madaraka ya timu kama anavyofanya sasa hivi.
  4. R

    Mashabiki wa Simba waandamana kuelekea TFF, wanataka mabadiliko

    Wanashindwa kuandamana kwenye mambo muhimu wakamatwe wawekwe ndani?
  5. R

    Kati ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea simba Mangungu anaongoza

    Mabaya yote ni ya Mangungu ila mazuri ni ya mo nizo ni akili zako au umeazima.
  6. R

    Wallace Karia: Nitahangaika hadi mashabiki 15000 waingie uwanja wa Uhuru

    Pointi yangu ni kuwa kuna ulaji maana mkataba na pesa zilipitishwa kwenye bunge la bajeti mwaka 2023 na mkataba ukasaini julai mwaka 2023
  7. R

    Hivi ndo itakavyokuwa Putin akija Tanzania

    Inasemekana aliwahi kuwepo bagamoyo kuwafundisha wapiganaji wa Frelimo
  8. R

    Kwanini mapadri, maaskofu wapo kimya katika tukio la ushoga liliotokea?

    Hebu tuwekee mashekh walichozungumza, mmoja kasema tusiwatenge je yuko sahihi? Mwingine ameenda mbali na kulaumu mashoga wengi wana majina ya kiislamu. Kutoongea nalo ni jibu tosha wq kuihoji ni serikali yako lini imeruhusu ushoga.
  9. R

    Wallace Karia: Nitahangaika hadi mashabiki 15000 waingie uwanja wa Uhuru

    Fedha za ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa zilianza kutengwa rasmi na Serikali kuelekea mwaka wa fedha 2023/2024, ambapo mkataba wa ukarabati huo ulisainiwa rasmi mnamo Julai 27, 2023. [1, 2] Taarifa muhimu kuhusu fedha hizo: Kiasi kilichotengwa: Jumla ya shilingi Bilioni 31.329 za...
  10. R

    Wallace Karia: Nitahangaika hadi mashabiki 15000 waingie uwanja wa Uhuru

    Mimi na wewe nani anatumia akili za kuvukia barabara? Unajua huo uwanja umetengewa peaa mara ngapi za ukarabati? Zilianza kutengwa kwenye bajeti ya mwaka 2023/2024 na mkataba ukasainiwa julai mwaka 2023. Niambie ukarabati gani unachukua miaka 3? Mmekaa kupokea kila mnachoambiwa kazi ya kichwa...
  11. R

    Wallace Karia: Nitahangaika hadi mashabiki 15000 waingie uwanja wa Uhuru

    Ukarabati wa Benjamin Mkapa ulianza lini na kwanini mpaka sasa haujakamilika?
  12. R

    Kiomoni Kibamba: Simba wameleta kamati tatu za Uchaguzi mpaka nashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi

    Dalali darasa la nne la mkoloni lakini kwa miaka ya karibuni hakuna aliyemfikia kwa mafanikio. Simba day ambayo imegeuka family day na uwanja wa bunju ni moja ya alama alizoacha.
Back
Top Bottom