Recent content by Rock art

  1. Rock art

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Hizo ni porojo za vijueni kama vile sungura waliwahi ishi pamoja na fisi wakiwa marafiki...
  2. Rock art

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Rudia kusoma swali ulielewe Usijibu kama umekula ugoro...
  3. Rock art

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Acha uzushi wape watu uhuru kama watakuta uzushi wako kwenye Quran
  4. Rock art

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Karibu uone tofauti Quran haina migongano hata kidogo na Quran imeruhusu kuhoji yaliyomo kwa kadri yako
  5. Rock art

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Hukumu ya mababu zetu wa kale Mola ndie ajuaye
  6. Rock art

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    You are most brilliant in tz mashallah
  7. Rock art

    Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

    Wanampango wa mabenki ya BRICS wanaanza kidogo kidogo ili kuwapima malofa USA na NATO...
  8. Rock art

    Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

    Pale world bank( wb) na IMF pana mchezo wa makusudi unaofanya na wayahudi wamarekan wanafanya mataifa mengine kuwa maskini. China kama vip wangeanzisha mabenki ya BRICS
  9. Rock art

    Nani ni mtawala wa ulimwengu huu, Mungu au Shetani?

    Kuna nadharia zimewapoteza binadam kifikra; 1. Dunia imetokea yenyewe by chance. 2. Binadam alikuwa sokwe(nyani tu). 3. Binadam ndio mpangaji wa kila jambo kwenye maisha (ndoto zake). Nadharia zote hapo juu sio kweli. Haiwezekani dunia itokee tu by chance mpangilio wa matukio ya dunia...
  10. Rock art

    Mikumbo na Giza Vichwani

    Swadakta
Back
Top Bottom