Recent content by robbyl

  1. R

    SOFTWARE Biblia Takatifu

    App imeboreshwa imeongezwa Mipango ya Kusoma Biblia (Reading plans). Tafadhali sasisha au ipakue Google Play store. inaitwa Biblia Takatifu na Sauti
  2. R

    App ya Voucher Master

    App Imefika Namba 7 kwenye orodha ya apps za msaada Tanzania. Taf jaribu kuipakua
  3. R

    SOFTWARE Backrow Rush: App ya Drafti - Checkers/Draughts Online

    Cheza drafti na wapinzani mtandaoni. Pia unaweza tazama mechi zilizopita. Pakua sasa playstore tafuta jina Backrow Rush
  4. R

    SOFTWARE Backrow Rush: App ya Drafti - Checkers/Draughts Online

    Nimejaribu kwangu naona inafanya kazi, anajoin kwa njia gani code au link? Pia ni game version gani maana mnatakiwa wote muwe na latest game version. Tafadali tuwasiliane inbox kwa msaada zaidi pia itanisaidia kurekebisha kwa urahisi
  5. R

    SOFTWARE Backrow Rush: App ya Drafti - Checkers/Draughts Online

    Asante kwa mrejesho. Nfanyia kazi nitakujulisha
  6. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    :p:pHiyo ni kwenye Hadith
  7. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Ni sahihi. Wakati unaifungua itakuuliza kuchangua lugha. Chagua kiswahili kwenye orodha au unaweza tafuta Swahili hapo kwenye orodha ya lugha. Pia kama ulikosea hapo mwazoni unaweza kubadili lugha ukifungua Surah yoyote kuna icon hapo juu kulia ukifungua unaweza kubadili lungha ya Tafsiri
  8. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Asante sana. Taf msaada kushare kwa wengine
  9. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Amen! Asante sana
  10. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Asante sana
  11. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Asante sanaa
  12. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Kiarabu. Unaweza sikiliza sauti za wasomaji maarufu zaidi ya 16
Back
Top Bottom