Recent content by rnon

  1. rnon

    Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

    Hakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine. Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
  2. rnon

    Gharama za kuwekewa umeme

    Kuna mdau aliniambia Maximum ni nguzo mbili kwa mteja kulipia nguzo ambayo ni 690k kitu kama hicho, ikitokea zinakuwa zaidi ya nguzo 2 ilo eneo inahitajika kufanyiwe mradi kama wanavyosema na issue ya mradi ina involve mambo mengi kama kuongezeka kwa manpower, vifaa, aina ya usafiri na mambo ya...
  3. rnon

    Jihadhari kununua hizi Samsung kwa mwaka huu 2026

    Simu kama inakubali apps zote. Hizo mambo za updates tupa kule. Kuna mtu anatumia Samsung S10e mpaka kesho na hakuna kitu anafeli. Wengine wanaenda mbali zaidi wanaweka custom operating systems ili ziendane na wakati Mimi natumia Blackberry Passport anyway napenda old school tech NB. SIMU...
  4. rnon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Matreni ya Handicap 🙌🙌 Huu mchezo ukituliza buyu Kanji atablock account yako
  5. rnon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tangu Mancity ameanza kupoteza games 🤣🤣🤣 Kanji anapiga KO
  6. rnon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Let's do it. We go Green ✅️ Leo week ya kwanza after international matches Historia inaonesha wakubwa wanashindaga games zao 😂 God bless 🙌 Hustlers DIRECT WIN
  7. rnon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Premierbet me sjui sehem ya code
  8. rnon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana Tumechukua hii 🤑🤑🤑🤑
Back
Top Bottom