Recent content by Ritz

  1. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Bra bra mlishindwa hata kufanya Maandamano kiongozi wenu Lissu asifungwe au? Yaani mtaandamana online kama ilivyo kawaida yenu!.. Sasa hivi msako ni kukamata magaidi wote waliochochea vurugu za 29 Oktoba 2025..! Endeleeni kujidanganya kuwa mtaandamana nchi hii. Watanzania wako bize na mambo...
  2. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Angalia hili shoga yaani unaanzisha Uasi upindue serikali kisha uchekewe?
  3. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Wewe mlokole hayo mambo mwambie Lissu. Mnadabganya watu eti mnashughulikia rufaa na dhamana. Yaani dhamana kivipi? Huyu ni mfungwa akae jela atulie yaani
  4. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Mnakaa mnajidanganya eti mna nguvu ya umma lakini kiuhalisia hakuna lolote na ndiyo maana chiba kapigwa mvua juzi na watu wameendelea na mambo yao na maisha yao kama hakuna kitu kimetokea
  5. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Kwani si mlisema anatoa shule ya sheria? Imekuwaje sasa? Si mlisema Commonwealth imetoa ultimatum kwani imekuwaje? Na US senate wakatoa mpaka muswada? Na EU pia?
  6. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    MMlileta mzaha sana na dola kwa muda mrefu sana mkidhani mnaogopwa.
  7. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Hamjawahi kujifunza madudu na mauzauza yenyu na mnarudia makosa yaleyale kila siku na kila mwaka.. Mwaka jana mlisusa kushiriki uchaguzi mkidhani bila ninyinchi hii haitafanya uchaguzi.. Lakini akaja kushangazwa vibaya sana na mkajikuta mko nje ya uwanja mpaka 2030..
  8. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Bado mmevurugwa na akili haijawakaa sawa na pengine hamuamini kama mwenyekiti wenu ni mfungwa pale Ukonga na mchakato wa kumpeleka magezeza tofauti tofauti ukifanyika.. Yaani akazuru Butimba na Maweni na Kiberege kadri ya mahitaji ya nguvukazi itakavyotakiwa.
  9. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Wewe punguani kweli Lissu ni mchochezi unataka aachwe tu?
  10. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Mwenyekiti wenu anafungwa mnashindwa kuandamana hata hatua mbili?
  11. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Kwani uchaguzi uliopita Chadema walishiriki? Si waligoma vipi uchaguzi haukufanyika ulifanyanyika?
  12. Ritz

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Lissu kwenu ni alama ya ujinga sana ndiyo maana mmekuwa mateko kwa muda mrefu sana mkidhani kuwa bila yeye hamuwezi kusonga mbele na bila yeye maisha yenu ya biashara zenu za kisiasa hayawezi kufanyika. Mmeleta mzaha sana na dola kwa muda mrefu sana mkidhani mnaogopwa sasa mmefika mahali...
Back
Top Bottom