Recent content by Richard

  1. Richard

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    Hizo case huwa ni ngumu kuzishughulikia kutokana na mambo kadhaa kama vile uchunguzi wa forensics, DNA na watuhumiwa kuhojiwa. Na ndo maana idadi ya kesi yaongezeka kila mwaka kutokana na pia sababu kadhaa kama vile muda wingi kupita tangia uhalifu utokee, kukosekana kwa ushahidi na mazingira...
  2. Richard

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    Sidhani hata kama walifanikiwa kumwona huyo mwanasheria mkuu wa serikali ya Marekani. Bwana Todd Blanche ambae humshauri raisi wa Marekani juu ya masuala yote ya kisheria, hana muda wa kusikiliza shauri linomhusu Mange Kimambi. Labda waseme wameonana na naibu wake au wanasheria wa Ofisi yake.
  3. Richard

    Kijana ataka ajiajiri awe blogger, Influencer na documentary maker lakini si mwandishi wa habari na hana shahada ya uandishi wa habari, afanye nini?

    Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale. Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
  4. Richard

    Mheshimiwa Deogratius Ndejembi anapiga kazi kwelikweli

    Tupatie matokeo ya upigaji kazi aloyapata mpaka sasa khasa kuhusu miradi ya ujenzi wa barabara, wakandarasi walokula fedha bila kumaliza ujenzi wameshughulikiwa? Kumbuka JPM pamoja na mabaya alokuwa nayo lakini tukubali alikuwa na ufuatiliaji wa papo kwa papo au "show me result now initiative"...
  5. Richard

    Utafiti Wabaini Watanzania Wengi Hawasafiri Nje ya Nchi Kwani Wana uhakika wa Upatikanaji wa Chakula na Ardhi ya bwerere,uhakika wa Amani na Usalama

    Tatizo wafanya spinning hata katika masuala ya maana na mwishowe wachanganya kila kitu. Angalia hiyo ya kuhusu hiyo ya fedha kwenda Kenya. Kuhusu huyo mnigeria, asema wamba watanzania wasidharauliwe kwa kuonekana kwamba hawana "exposure". Anasema watanzania wanasafiri kwenda nje kwa sababu...
  6. Richard

    Mjadala uliotegemewa kurushwa na Star Tv kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umehairishwa

    Hapo aogopwa Peter Madeleka maana ataendelea kuwaelimisha wengi juu ya vituko vya mahakama zetu.
  7. Richard

    Sakata la Shirika la Ndege US bado inatumia diski za floppy katika vituo zaidi ya 400 vya usafiri wa anga

    Hiyo wamekataa rasmi. Wanasema mfumo wa uongozaji ndege haujafanyiwa "upgrade" hivyo "router" na "switches" zilikuwa zikipeleka taarifa zisizo sahihi kwenye mfumo. Hapo tiyari mkandarasi atapigwa masuali na huenda akapoteza mkataba. Wataalam wasema kwamba kuubadili mfumo mzima itachukua miaka...
  8. Richard

    Kumpunguzia madaraka Rais ni kumuandalia kifo Rais na mapinduzi ya kila mara

    Mkuu, katiba ya Marekani imefanyiwa mabadiliko yapatayo 27. Moja ya mabadilko hayo ni kuweka ukomo wa uraisi kuwa ni vipindi viwili vya miaka minne yaitwa 22nd Amendment. Ndo hadi le twaona raisi wa Marekani aweza kukaa madarakani miaka minne, minne.
  9. Richard

    Makonda: Sasa hivi wameanza majungu ning'oke, hiki ni kisiki

    Ipo namna ya kuondoa kisiki cha namna hiyo iwe kiulaini au kimasihara.
  10. Richard

    Chalamila: Polisi kamateni wanaotembea na magari hayana plate number ni wizi na ujambazi

    Na hili si suala la RC kulifanyia mkutano na kukusanya watu ambao watakiwa kuwa wapo mashambani na shughuli zingine halali kusukuma gurudumu la maendeleo. Hilo ni jukumu ya polisi wa usalama barabarani kufanya Operesheni maalum ya kuwasaka wale wote wanotumia magari yaso na namba na wale...
  11. Richard

    Maraisi Donald Trump, Vladmir Putin na Xi Jinping watarajiwa kukutana China wiki ijayo katika mkutano wa kihistoria katikati ya mkutano wa Apec

    Viongozi hao watatu wa Dunia Donald Trump, Vladmir Putin na Xi Jinping watarajiwa kukutana mjini Shenzhen nchini China: Picha na AP Maraisi Donald Trump wa Marekani, Vladmir Putin wa Russia na Xi Jinping wa China wiki ijayo watarajiwa kukutana nchini China katikati ya mkutano wa umoja wa nchi...
  12. Richard

    The threat that calls itself security, From Custodians of the Nation to Its Most Cataclysmic Pestilence: The Metamorphosis of National Security

    Wenzao huku nje wapo busy kwenye mitandao kutafuta "new talents" kwa kutumia "computer games" na kuwashindanisha vijana mbalimbali. Hapohapo mtu huchaguliwa kuwa afisa mpya kwa uwezo wa akili yake. Baada ya hapo kuna mitihani kadhaa za kupitia kama vile aptitude test, verbal reasoning test, na...
  13. Richard

    Hii ndio sababu Rwanda yenye eneo dogo inatabiriwa kuipita Tanzania kimaendeleo na kijeshi kufikia 2050, endapo Tanzania haitabadilika

    Sawa kabisa hata Israeli ina watu miloni 10 lakini wametuzidi kwenye hata kilimo cha kisasa hadi twapeleka vijana kujifunza kulima kisasa. Sie tuna watu milioni 70 na tuseme watu miloni 20 ni wakulima vijijini lakini hawalimi kisasa, hawana pembejeo za kutosha na mazao ya chakula na biashara...
  14. Richard

    Hii ndio sababu Rwanda yenye eneo dogo inatabiriwa kuipita Tanzania kimaendeleo na kijeshi kufikia 2050, endapo Tanzania haitabadilika

    Sasa hivi nipo hapa Kigali na nimepata fursa ya kuangalia namna uchaguzi wa mameya unavyofanywa maana miaka mitano imepita na sasa walikuwa wakitaka mitano tena. Katika chaguzi hizi za serikali za mitaa mameya na manaibu meya huchaguliwa baada ya kupiga kampeni ambayo huitumia kueleza nini...
  15. Richard

    Serikali ya Tanzania imetetea uhuru wa mahakama kufuatia hukumu ya Tundu lissu

    The Tanzanian government is not capable of upholding human rights of its own citizen. Its own citizens are disappearing without trace and relatives of these citizens are suffering in silence until today. Where is Humphrey Polepole who was its honourable ambassador, where is former Vice...
Back
Top Bottom