Recent content by Revolution

  1. Revolution

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa siyo lazima kuwa ni TISS. Ila composition ya hiyo Kamati itakuwa na RSO wa Mkoa, RPC, RAS, Mkuu wa Mkoa ( Mwenyekiti ambaye whether ni TISS ama siyo ni lazima awe Mwenyekiti wa hiyo Kamati by the virtue of his/ her position) na wajumbe wengine. Watu...
  2. Revolution

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    Nitajie hivyo vijiji hata 10 tu kwa kusample kutoka mikoa tofauti tofauti. Kwa kuwa tupo hapa kunaweza kuwa na wanachama ambao either ni wanakijiji wa hayo maeneo au wamefika kwa shughuli mbalimbali hivi karibuni. Ninaupenda ukweli ndio maana ninataka kujua.
  3. Revolution

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    Ila Mkuu upo kusifia sawa sipingi ila kuna vitu vingine ukiandika ninafikiri hata dhamira yako inakusuta. Hivi unajua hata huo mkaa unaopingwa kuna maeneo ya vijijini wanaona kutumia mkaa ni luxury they can not afford huko ni mwendo wa kuni tu! Sasa unaposema matumizi ya mkaa yamepungua na yapo...
  4. Revolution

    Gesti Aliyofinyiwa" yule Mwanafunzi zipo nyingi , Tuzitaje?

    Kelvin haonekani kwenye video hivyo ushahidi wa kumtia hatiani unapatikanaje?
  5. Revolution

    Gesti Aliyofinyiwa" yule Mwanafunzi zipo nyingi , Tuzitaje?

    Jamani kulikuwa na bikra pale? Bikra siku inatolewa demu anaweza kuikatikia namna ilee!?
  6. Revolution

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Sasa hapa si hatujitambui? Unaona hata most ya members hapa wanakueleza mambo ya sheria this sheria that! Mchawi wa mbongo ni mbongo mwenzake! Huko kwenye sheria nako watu wakienda hawaambulii chochote...Wasimamizi wakuu wa Sheria wamesema Watu wanaowaonea Wananchi Wanamwachia Mungu
  7. Revolution

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Asipopewa urithi inamuondolea au kumpunguzia nini? Maadam ni mwanadamu mwenye viungo vyote na anayepumua ataishi tu and he/she will make the most out of it!! Kila binaadamu anayezaliwa anarithi? Kurithi unamaanisha mali (possessions)?
  8. Revolution

    Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Sasa kama unaamini zinaweza kutengenezwa akikuletea utajuaje kama ni za kweli ama zimetengenezwa wakati umeshaonesha mashaka??
  9. Revolution

    Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Kama ni hivi basi hutakaa huamini chochote, kila jambo utakaloelezwa utasema huamini kwa kuwa hamna ushahidi, ushahidi ukiletwa utakuwa unasema picha/video zinatengenezwa kiurahisi. Suluhisho; uwe unatumia app za kuverify picha/video ili kujua kama zimetengenezwa ama la.
  10. Revolution

    Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Hata mimi nimeshangaa kweli JF ya leo siyo ya zamani watu hawana na hawapati taarifa
  11. Revolution

    Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Kila kona kuna mambo ya moto...wahaya nao wapooo
  12. Revolution

    Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Sasa vyama vyote ni vya Msajili ina maana yeye ndiye baba na mlezk wa vyama. Sasa ukiwa kama baba ama mlezi unawezaje kusema watoto wangu hawa wamefika ila yule mmoja hajafika kwasababu bado anajitafuta? Kama Mlezi kwanini usimsaidie ili ajipate??
  13. Revolution

    Wala bata wa JF

    Hivi kula bata ni kula na kunywa mabia tu? Haya kama ni hivyo hilo bata linaliwa kwa msuguri, temboni, tegeta, katoro, nkuhungu, R chuga, na kwingineko tu? Yaani hata kufika hapo Ngorongoro Crater, Dubai, Bahamas, na kwingineko ni shida?
Back
Top Bottom