Asante kwa mchango wako mkuu,ila kuhusu mambo uliyosema ni kama hifatavyo, kuhusu banda liko vizuri,kuhusu wanyama hakuna zaidi ya ndege wakipita mda mwingine ndo wanapiga kelele na panya usiku mda mwingine ndo wanawazingua,chakula natumia damu, Mifupa, chokaa, dagaa, mashudu ya alizeti, pumba...