Recent content by Remmy Emmily

  1. R

    Door to Door marketing

    Maoni ya wadau kuhusu swali langu la aina ya marketing ninayopaswa kuitumia na yenye nguvu hasa kwa bidhaa mpya kabisa ni DOOR TO DOOR MARKETING. Nitawaletea mrejesho juu ya maendeleo na mchakato mzima wa masoko na mauzo ya mlango kwa mlango. Asanteni
  2. R

    Aina gani ya marketing ni rahisi zaidi

    Je, ni aina gani ya marketing ni rahisi zaidi kufanyika na kupenya sokoni hasa kwa bidhaa za vinywaji? Door to door Social media marketing Influencers marketing Naomba uzoefu wako kama mtaalam wa masoko na mauzo.
Back
Top Bottom