Recent content by REJESHO HURU

  1. REJESHO HURU

    Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Go pasii go goo goo passi jamani uyu ni pasiii kule usukumani ukisikia pasiii basi tambua ni pascal haaa haa
  2. REJESHO HURU

    Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

    Mtoa mda wewe utakuwa ajira mpya unaona ajabu sana hapo maanw bado una majukumu ya kuyamudu kwa kipato chako ngoja siku zisonge utajaa kwenye mfumo tu na wala hutoshanga hii salary slip
  3. REJESHO HURU

    Mtukufu Rais Samia , maridhiano yanafanywa na watu wanao tofautiana, sasa hawa marafiki wako wanaokuunga mkono kwa kila kitu mnaridhiana nini?

    MUDA UTAMUA TUZIDISHE MAOMBI TU KAMA SADAKA YA DAMU INCHI ISHATOA TUPO KUSUBILI MAJIBU YA MAOMBI YETU DAMU ZA OCTOER 29 DAMU ZA KINA MDUDE, POLEPOLE, SOKA, MZEEE KIBAO, NA BWANA MWAIPAYA LAZIMA ZIMEEE TU HAZIWEZI KWENDA BURE Ni SUALA LA MUDA TU
  4. REJESHO HURU

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Sema mkwele sijui ndio utoto wa mjini au vipi yani kama ni usnitch basi anao wa kiwango cha juu na atatusumbua sana alimtosa mwanae wa kushibana maaavi live bila chenga kupitia kwa kina mzee six na mzeee wa kujikuna anatoa unga mwili mzima enzi hizo kwaiyo si ajabu hata mda huu akimkataa...
  5. REJESHO HURU

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    WHAAAAAT?
  6. REJESHO HURU

    Ukipima reaction ya watanzania sasa kwenye mitandao ya KIjamii utaona mambo shwari ila ukienda mtaani mambo ni moto

    Wewe jitoe ufahamu ila elimu ya uraia inazidi kushuka siku wakirudi kwenye mitandao ya kujamii hamtoamini sasa wana woga wakuandika ila mioyo yao unazidi kujaa ujasiri mda si mrefu tutaongea lugha moja
  7. REJESHO HURU

    Ukipima reaction ya watanzania sasa kwenye mitandao ya KIjamii utaona mambo shwari ila ukienda mtaani mambo ni moto

    Zamani mambo mazito yakuibua hisia za wanainchi yalikuwa yanaishia uku mitandaoni unatamani yule mama mpika vitumbua pale au yule mwenye genge ufike agiza chakula ukute mijadala mizito kuhusu mustakabali wa nchi ila hapana ulikuwa unakuta shwari kama ilivyo mitandaoni leo hii yani kama hakuna...
  8. REJESHO HURU

    Tujiulize: Kama Samia ndiyo muhula wa mwisho kwanini anaogopa wapinzani wa ndani na nje ya CCM

    Uyu mama na washirika wake hawna mpango wa kutoka madarakani na wana ccm walivyo wajinga wanacheka tu wanasahau hata wao hawapo salama tena juzi tumeona hapa mkuu wa mkoa wa Tabora anaomba msamaha sasa kada mwenzake yule kamla kichwa sababu wanajua wao si ya kijamii kuwa alikosea wanainchi na...
  9. REJESHO HURU

    Hawa watu si wakuwachekea tena ni muda wakuungana

    yani inchi hii haya mabavu angetumia nyerere na kina mwinyi na mkapa amini nakwambia wazee wastaafu waliotumikia taifa hili ndani ya chama na nje ya chama wasingekuwepo kabisa mfano mzee wasira tungekuwa tushamsahau hawa kina mama tibaijuka wasingekuwepo
  10. REJESHO HURU

    Hawa watu si wakuwachekea tena ni muda wakuungana

    Watu wana vitu moyoni leo ujinga umefanyika kwenye magroup ya whatsap na mitandao ya kijamii hawatoi maduku duku yao ila kwenye vikao vyao uko maofisini nk wanajadili sasa mda si mrefu watakuja umu mnapopaogopa mitandaoni
  11. REJESHO HURU

    Kosa la uchochezi halina faini hapa nchini?

    Lostam azizi alisema mifumo ya mahakama ni takataka hakuna muwekezaji mwenye akili anayekuja wekeza hapa mahakama zinangozwa na sm
  12. REJESHO HURU

    Hawa watu si wakuwachekea tena ni muda wakuungana

    Haipo kitikadi wala kiimani hili kundi dogo lililojimilikisha hii inchi limeshamua liwalo na liwe ukiwa ccm wanapita na wewe ukiwa mpinzani wanapita na wewe ukiwa mkristo au muislam au mpagani wanapita na wewe wanalinda maslahi yao siyo ya nchi tena kiufupi huu ni muda wakuwakabili kama kufa...
Back
Top Bottom