Recent content by RayropeX

  1. RayropeX

    Huyu hapa mpinzani wa Simba Queens nusu fainali

    Wababe watatu hawa hapa, mmoja akisubiriwa na SImba Queens nusu fainali. [emoji417]Mamelodi Sundowns [emoji1221] [emoji417]TP Mazembe [emoji1078] [emoji417]Bayelsa Queens [emoji1184] [emoji405]MSIMAMO KUNDI B [emoji2389][emoji616]Sundowns.[emoji1221] 6pts [emoji2390][emoji616]Bayelsa...
  2. RayropeX

    Ntakukumbuka Mzee Kilomoni, elimu ndogo ila akili za kutosha. Mo bado hajaweka pesa zetu

    Huna hoja ya msingi umeandika utumbo! Badala ya kuhoji 51% iko wapi na inafanya kazi gani unahoji 49% ya mtu ambaye analea timu na kusajili wachezaji! Kweli akili si nywele!
  3. RayropeX

    Kombe la Dunia la Wanawake U17 Tanzania nje

    Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia. Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha Kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila nidhamu ya mchezo kwa vile tuliwafunga Ufaransa. Nina imani kama tungeingia kwa kujilinda zaidi na...
  4. RayropeX

    Kila la kheri Simba S.C. kaeni mkijua taifa linawategemea

    Kila la kheri Mnyama
  5. RayropeX

    Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

    Huna hela utaenda kwa ndege ya kukodi? Unaijua gharama ya kukodi ndege? Au Unadhani hiyo gharama ni ndogo kuliko wangekaa huko siku tatu? Akili tu inahitajika kutambua mambo!
  6. RayropeX

    Nini mashiko ya hoja hii ya wasagaji

    Haijalishiiii!!!!! Unaweza tibu moyo bila ya. wewe kuugua...!!!!
  7. RayropeX

    Nini mashiko ya hoja hii ya wasagaji

    Mimi nadhani watu Kama hao ni laana tu Ndo inawasumbua!!!!!! Hakuna chochote hapo.......!!!
  8. RayropeX

    FIFA FRIEND MATCH SUDAN vs TAIFA STARS

    Imeishaaaa?????!!
Back
Top Bottom