Recent content by raylin

  1. R

    Mtandao wa WhatsApp na Facebook haupatikani. Je, ni kwasababu ya kesi ya Lissu?

    Mm nilidhan kwangu tuu, mpaka Instagram haifanyi kazi
  2. R

    Muda sahihi wa kununua gari yako ya kwanza ni upi?

    Nilinunua ka ist aliniuzia jacktan safar 2021 kwa 5.5M namba C sikua vzr nilikua nimepanga room 1, ela ya mfuta iuisafirisha toka mwanza mpaka nilipo nilikopankwa mtu, ela ya gari nilikopa NMB miaka 2.... Nilicho jifunza ni kua na ujasiri kwenye maisha ndio msingi, kila kitu kinawezekana...
  3. R

    CBT na KCJE zieleze tani elfu 50 za salfa ya unga ziko wapi?

    😂 Kaka we acha tu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba 😂😂😂
  4. R

    Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Hiko ndio ninacho nishangaza na mm na mara nyingi najiuliza hvyo yan 😃
  5. R

    Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Safi sana mkuu, NCP 61 si ile 1490 lakin ni inavuta miguu ya mbele peke yake?
  6. R

    Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
  7. R

    Uchaguzi wa magari, nichukue gari gani kati ya Toyota IST, Rush, Ractis, Raum au Spacio?

    Kama sio mzoef kwenye magari achana na CVT utalia kilio cha mbwa
  8. R

    Je, kwa Shilingi Milioni 30 taslimu ukiwa una Uwanja ukikomaa huwezi Kujenga nyumba yako ndogo tu nzuri ya vyumba vitatu na iliyokamilika kila kitu?

    Una milion 30 unaogopa kujenga😂, sema tu ukweli wewe hiyo pesa huna bwana 😂 😂 😂 😂
Back
Top Bottom