Habari wanajamii forums, naitwa Rashid ni kijana wa kiume 24 muhitimu chuo kikuu mzumbe Morogoro katika shahada ya public administration in local government management mwaka 2026.
Natafuta nafasi za kazi yoyote katika mkoa wa Tabora mjini, dar es salam na mingineyo..Ninauzoefu katika maswala la...
Naitwa Rashid, kijana wa kiume 24, muhitimu chuo kikuu 2026, natafuta kazi yoyote kama cleaner, gas station attendant n.k ndani ya mkoa wa Tabora mjini, pia nipo tayari kufanya kazi ndani ya Dar es salam..
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.