Recent content by RamsoMaya

  1. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Kama yangelishiba, basi hapa yangelishiba macho yangu[emoji2]
  2. R

    Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

    Wahindi waliotoka Uganda Kenya na Tanzania kila siku nakutana nao kama waswahili wenzangu hapa Uingereza. Wamewekeza India na wanapoenda hawana shida hata moja na mali zao serekali inawalinda. Unafaham hata Rishi Sunak ananyumba India na serekali inamlinda kama Muingereza mwenye asili ya India...
  3. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Kwa hali hii sijuwi kama uasherati watu wataacha[emoji2367]
  4. R

    Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Utaelewa ni namna gani utawala unaogopwa[emoji23][emoji23][emoji23] Nahisi wengi mno ni sababu ya hofu ya kufuatiliwa na uhuru wa kutowa dukuduku. Kwa kifupi ni sababu za kisiasa. Poleni sana.
  5. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Naona mchumba wangu mtarajiwa nitampata hapa bila shaka
  6. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Akimtazama mtu demu wangu huyu tutaonana wabaya. [emoji23]
  7. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Walio ZOOM wote like hapa[emoji23] hii pisikali si mchezho.
  8. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mimi nilikuwa na tatizo hilo hilo, nikaambiwa sababu natumiya app. Sijuwi enzi hizi nani anataka arudi kwenye www.[emoji2379] ila kwa leo safi kabisa. Picha zote zafunguka ila sijuwi kilichotokeya.
  9. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Yule mtoto atakuwa tu kwenye siku zake.
  10. R

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hivi kwanini attachment zinanisumbuwa kufunguka? Na nafanyaje ili zifunguke? Will be grateful
  11. R

    Ukweli mchungu ila msinitukane

    Huchekwi na mtu. Dr. Veterinary wangu namuita mbuzi wangu mtoto amefia tumboni. Kamchana kwanza mbuzi na nyembe ukeni, hakufaulu. Kisha akamaliziya kuchana na kisu. Inamana alitaka auvunje na mfupa. Napiga simu namuuliza kama amempasuwa, nikapewa taarifa hizo. Alafu alifeli kumtowa. Namuuliza...
Back
Top Bottom