Recent content by raiswenu

  1. raiswenu

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Walifanya maamuzi hayo kutokana na ukubwa wa stock, wala siyo Sales maana nilikuwa sijaanza kutumia EFD, Nilikuwa nimetoka kuchukua mkopo nikajaza stock, kwenye utetezi wangu ilibidi niwaoneshe document za mikopo.
  2. raiswenu

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Mwaka juzi TRA walipita ofisini kwangu, wakaacha ujumbe kama nahitajika ofisini kwao, pia walinipigia simu ya wito. Nilipofika nikapelekwa kwa Meneja, kufupisha maelezo, kwa ukaguzi waliofanya alidai kodi ninayolipa ni ndogo hivyo natakiwa iongezeke, kumbuka hapo ni mwisho wa mwaka na...
  3. raiswenu

    Rafiki wa Mume wangu............

    Wewe na mme wako pipa na mfuniko, mnaliwa na huyo rafiki yenu
  4. raiswenu

    Niendelee kuficha siri hii au niwaambie hawa mabinti waujue ukweli

    Una mke halafu unamahusiano mawili, then unawaahidi utawaoa, daah wakati mwingine wanaume tunajitafutiaga shida wenyewe. Kama hujakomaa kiakili bora usioe,
  5. raiswenu

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Kilimo ni biashara pia, umeshawahi kusafirisha mazao?
  6. raiswenu

    HOJA Je, ni sahihi kulipia kodi ya bango lililopo kwenye eneo lako la biashara?

    Hawawezi kuja. Utitiri wa kodi zisizo na maana
  7. raiswenu

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Tuseme unajitafuta kwenye biashara, -Utalipa pango -utalipa kodi TRA(inategemeana na biashara) -Utalipa leseni (wastani 100,000) -Utalipia mazingira wastani (3000 kwa mwezi) -utalipa zimamoto(wastani 25,000 kwa mwaka) -Kodi ya bango (inategemeana na ukubwa wake) -Hapo hujaweka pesa ya...
  8. raiswenu

    Africab 1.5mm single core Tsh 70,000

    Zimeshuka au zimepanda?
  9. raiswenu

    Maboss kumbukeni kuhesabu stock, Mfanyakazi sio wa kumuamini sana, Mdogo wangu kaja kushtuka kapigwa Milioni 9

    Tumia mifumo, binafsi natumia retail man, haujawahi kuniangusha, purchasing order inatengenezwa kwenye mfumo, mzigo ukiingia dukani tunapurchase kwenye mfumo, akiuza anauza anatumia mfumo, hata nisipoingia dukani wiki kuiba ajipange
  10. raiswenu

    Mke wangu anachunguza mno simu yangu

    Mtu mwenye wivu sana, mara nyingi kama siyo zote huwa ni mchafu, mchunguze
  11. raiswenu

    To see the unseen! Itakuwa kabla au baada ya Final SUBMISSION?

    Naandika nafuta, nahisi yajayo yanasikitisha, hawana aibu,
Back
Top Bottom