Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE...

Nakushukuru mkuu kwa comment zako, Nimejiunga na WAT SACCOSS ndani ya wiki Hii, I think inabidi nika fuatilie taratibu zao za huo mkopo. Once again thanks for credit
Nakushukuru mkuu mdizi, Nianzie wapi kusajili kampuni yangu, bahati nzuri Tin number ninayo. Je watahitaji nini pale brela? Ntafungua account access bank I wish to be formal. jina la kampuni nimeshaliplan. Please wish to hear from you
Wakuu habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa chuo. Kwa sasa nipo hapa Dar-es-salaam. Nina Biashara ya bodaboda na nimeifanya kwa muda wa miezi mitatu sasa. Nahitaji kuongeza ya pili, binafsi nina shilingi 500,000 na nikipata mkopo huo nina weza kukamilisha mpango wangu.dondoo ni kama zifuatazo (1)...
Wakuu habari, nimemnunua bodaboda, katika kutafuta nadereva nimekutana na hii biashara ambayo inaitwa ya mkataba, ntaileleza:-
unampa dereva bodaboda, mnakubaliana akurudishie kiasi fulani baaada ya muda fulani inakuwa bodaboda yake. naomba nisaidiwe yafuatayo:-
Nipate elimu zaidi juu ya hii...
Wakuu naomba elimu juu ya swali langu hili
1: Je mpangaji anaweza akalipia na kununua LUKU tanesco kwa jina lake
2: Kama ni mali ya mpangaji je akihama anaweza kuhama na LUKU yake?
3: Kama inabidi iandikishwe kwa jina la mwenye nyumba je, mpangaji anaweza kuimiliki kama ameilipia yeye
4: Mwisho...
Wakuu habari zenu:
Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama nafuu kwenye ununuzi wa wino.
1: Matumizi ya printer hii
Napanga kufanyia bishara, maeneo ya chuo...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.