Recent content by Raia - JMT

  1. R

    Kafulila: Si sahihi serikali kutoa fedha kwa ajili ya kujenga maegesho, stendi, majosho, masoko na vyoo vya kulipia

    Asante sana Mkuu kwa kunielewa na kuikubali hoja yangu. Hivi ndivyo mijadala yenye tija inavyopaswa kuwatujibu hoja kwa hoja, kwa hoja zenye mantiki na mifano, badala ya kushambuliana. Nashukuru sana kwa maneno yako ya kutia moyo. Tutaendelea kuelimishana na kujenga hoja kwa manufaa ya wote.
  2. R

    Kafulila: Si sahihi serikali kutoa fedha kwa ajili ya kujenga maegesho, stendi, majosho, masoko na vyoo vya kulipia

    Kodi ni fedha za wananchi, ndiyo. Lakini maendeleo si Serikali kujenga kila choo, soko na parking. Kama sekta binafsi inaweza kuwekeza, kodi zielekezwe kwenye shule, hospitali, maji na barabara. Akili ni kutumia kodi vizuri, si Serikali kufanya kila kitu.
  3. R

    Kafulila: Si sahihi serikali kutoa fedha kwa ajili ya kujenga maegesho, stendi, majosho, masoko na vyoo vya kulipia

    Hoja si kwamba kodi zikusanywe kwa ajili ya mishahara, posho au magari ya kifahari. Hoja ni kwamba fedha za kodi ni chache na zinapaswa kuelekezwa kwanza kwenye maeneo ambayo sekta binafsi haiwezi au haina motisha ya kutosha kuwekeza kama huduma muhimu za afya, elimu, usalama na miundombinu ya...
Back
Top Bottom