Recent content by Radiation

  1. Radiation

    Mtu anaomba namba, halafu anakuja kujaza inbox ya simu na "Habari" kibao

    hii nayo ni Habari na Hoja Mchanganyiko 😃😃
  2. Radiation

    TUNDU LISSU: Siombi msamaha kwa sababu sina hatia kabisa (l am completely innocent)

    "Waheshimiwa Majaji, kwa bahati mbaya sana, mmefanya kile ambacho Mahakama Kuu ya Kenya ilifanya mwaka 1954 katika kesi ya Mzee Jomo Kenyatta. Walimuadhibu kwa sababu ya kuwa mpinzani wa wakoloni. Historia haijawahi kuwaacha salama wale Majaji walioamua kutumika kisiasa. Kwa sababu nyinyi...
  3. Radiation

    Piga tena huenda alikuwa bafuni 😄 🤣 😂 😆 Pole jikaze.

    Matikiti ya baridi ukila mara nyingi yanasaidia kujiskia vizuri hasa nyakati za usiku ambapo utahisi kama unabanwa pumzi, jitahid pia kulala taa ikiwa inawaka
  4. Radiation

    Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Ni wakati wa vijana wazawa wenye uchungu na kwao kushika hatamu kwenye uwakilishi wa majimbo yao
  5. Radiation

    Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
  6. Radiation

    Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Nadhani ungekuja na takwimu halisi juu ya ongezeko hilo unalolisema, hoja yako ingekua na mashiko zaidi, kuliko haya maneno matupu ambayo yanaonekana kama proganda tu.
  7. Radiation

    Nina bahati mno ya kupendwa na akina dada wa Kichagga

    imekua ikinitokea sana hii pia, mahusiano yangu mengi imekua na wapare na wachaga😅😅 hii inatokea mkoa wowote nnapokua kwa Dar ndo nikijaribu tu kupiga voko mwisho wa siku nakuta ni mchaga au mpare
  8. Radiation

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  9. Radiation

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  10. Radiation

    Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Biochemistry na hii Pathology hivi vitu vilinitesa sana
  11. Radiation

    Unazikumbuka Movie Za Mabroo...?

    au ziliitwa "Blue"
  12. Radiation

    La Casa

    Lets cook
  13. Radiation

    Maneno ambayo "wamama" wa kiswahili hupenda kuwaambia watoto wao

    "hii mitoto itaniua na pressure"
Back
Top Bottom