....Ndugu zanguni naomba 2we waelewa,naona fikra zetu,akili zetu zimetawaliwa na ushabiki tuu,inaelekea nyinyi ndugu zetu si wa-Tanzania wenye kupenda amani na utulivu.Maalim Seif Anaaminika tena sana,hakuna mwana siasa yoyote wa kipindi hichi anaoweza kumfikia Maalim Seif ktk harakati za siasa...