Ukweli ni kuwa kila kabila lina mambo ambayo hayawezi kukubalika na kabila zingine ... yaani characters zinazo-represent asili ya watu ... pengine ni perception au ukweli!!
Mfano misemo kama vile:
Watu wa Musoma/Tarime ni wauaji au wakatili
Wachaga ni wezi
Wanawake wa kimachame wanaitwa...
Du yaani huyu jamaa nilijua akili yake mbovu wakati wa uchaguzi, yeye sijui ni mwanahabari wa vp bwana, anazungumza habari anazotaka yeye mwenyewe kwa maslahi yake na kujikomba kwake huko kwa hao wanyinyaji ...
ila ake chonjo make ipo siku naye yatamgeukia ..... yamewakuta wazee wa maamuzi...
Binafsi nimesikitishwa na kuogopa sana juu ya uhodari wa hawa watu kutuma picha kama zile kwa jamii ya watu wenye akili na wenye mitazami tofauti juu ya kiongozi huyu mkuu wa nchi.
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, wakina dada wengi sana wamekuwa wakidhalilishwa na mtandao huu na kutoa...
Suala la mwanaume kuota pesa kwa mwanamke ni utashi wa mtu mwenyewe! Wanaume wengi huona kuwa ili waweze kum-possess mwanamke ni kutoa pesa ili mwanamke asirubuniwe na m/mme mwingine.
Pili sikatai kuwa kuna wanawake ambao pia huenda/hukubali mwanamme mwenye pesa, nadhani hili pia ni jukumu la...
Tabia haina dawa, hata akiacha kwa muda lazima akishakuoa/ukimuoa atamegqa/mega tena!! Kwani hakufahamu kuwa uaminifu ndio msingi wa mahusiano?
Ni vema ukafikiri kwa kina zaidi juu ya tendo alilofanya kabla ya kuendelea na maamuzi makubwa ya maisha ambayo yataku-cost baadaye
He wants to prove his innocemnce against allegations,.... but he politics stinks.
Anashindwa kuzungumzia matatizo ya wananchi yanayojadiliwa kila siku???
Tutakula hizo smile zake??
Richmond analo la kuongea wakati yeye ana mkono??? Wote wamemshika sehemu mbaya hivyo anagugumia tu!!!
Ila hiyo migomo nami naunga mkono wa asilimia 300
Mbolea kaongelea kidogo, jamani mfuko wa mbolea aina ya UREA ni sh. 50,000/= hiyo ndio bei ya ruzuku, halafu unadhani mkulima wa hali ya chini ata-afford?
JK anasimama na suti yake kuzungumzia suala hilo badala ya kusema fedha zinazorudishwa na wezi wa EPA zitakwenda kuongeza ruzuku ya mbolea...
Kuliwa sio kina dada tu, ajira hata kwa wanaume mtapewa option hiyo ya ....... kwani akiliwa mkeo hujaliwa?
Kikubwa hapa ni maana halisi ya kuliwa hadi 2015 ndio nasi tutaanza kula makombo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.