haya hayaaa! Ni barcelona v real madrid! Ka vp tuanze kupeana tathmini ryt now pamoja na utabiri pia.
BARCELONA WIN - LOSE REAL MADRID but kwa bao ngapi, ngoja twoneee...
ni vp str8Muzik ilivyobamba...si mmeziona performance za wakare kutoka mbare kule america? Ni tofauti kinoma na shoo za bongo ryt...ingawaje 2mezipga hatua kwnye ku-hip hopuka ka kina bonge na vi2 ka ivo!
Lakini t pain ni hatari hommiez....
kheri wazeiya?
Nilidhani bongo kwetu ndo kunatatizo la maisha mabovu kwa wananchi ambao tena wanaishi katika miji ambayo inamadini ya kutosha...labda hii ni kwasababu wachimbaji wadogo wadogo hawana utaalamu wowote juu ya madini hayo na biashara yenyewe! Lakini, kwani wanatakiwa waifanyaje hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.