Watu humu mnamakasiriko sana, unakujua mbande au unakujua mipeko? Njia rahisi ya kufika mipeko ni kupitia mbande, direction nzuri yq mipeko ni kupitia mbande, sasa kuna shida gani mimi kueleza kua site ipo mbande mipeko? Ukisema mipeko kama mipeko haijulikani, laizma useme sehemu ambayo maarufu...
Karibuni viwanja vizuri kwa makazi na biashara, Mbande mipeko C, viwanja vipo zaidi ya 100, bei kuanzia 1.3M hadi 3.5M, size futi 40x40, 50x40. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Unaweza kulipa kwa awamu.
Karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.