katika pitapita zangu, one time nilijikuta nakaa butiama mwezi mzima! kati ya watu niliokuwa nawaona karibu kila siku ni pamoja na fundi viatu maarufu ambaye alikuwa akishonea na kubadika gundi viatu vya mwalimu. that alone speaks volumea about mwalimu the person.
mwalimu 'the intellectual'...
wana JF,
These guys did a very stupid Job as propagandists! by definition propaganda is the use of 'persuasive communication techniques to influence human behavior or perception. Katika propaganda the target is the emotional part of a human being and not the rational part or logic!
Sasa...
Inavyoeleweka duniani, AG yeyote yule ana majukumu yafuatayo:
1. Ndiye mshauri mkuu wa serikali wa masuala yote ya sheria e.g. uhalali wa maamuzi, sera mbalimbali.
2. Ndiye mshauri mkuu na mwakilishi wa serikali mahakamani nje na ndani ya nchi.
3. Ndiye mtetezi/mwangalizi wa maslahi ya umma...
Waingereza walikuja na concept ya responsibility kwa maana ya kwamba kiongozi aliyepewa dhamana ya umma ni 'uungwana akiwajibika' kwa makosa/uzembe ama uliosababishwa na yeye mwenyewe ama na wale walio chini ya uangalizi wake.
hawakuishia hapo. walipanua wigo wa hii concept ya uwajibikaji na...
Ndani ya JF tuliwahi kusema kwamba Kingunge is not Carl Rove! Kingunge was long past his sellby date. Politics za 21st century ziko sophisticated, zinahitaji political scientists ( na siyo cheer leaders!).
Mzee Kingunge obviously was out of step with reality, still orbitting in the 70's and...
wana JF
issue ya natural justice imekuwa blown out of proportion. kwa kawaida natural justice huwa ni rule of procedure katika administrative tribunals (baraza or quasi judicial bodies) ambapo mamlaka husika kabla haijatoa maamuzi ( decision ) yanayoweza kuwa na athari mbaya kwa mtumishi basi...
Mwakyembe 'the Giant Killer'. I have nothing but utmost respect for this formidable UDSM academician turned politician. Kwa wale wanaomjua Mwakyembe toka alipokuwa 'Daily News' ni mzalendo na mwanaharakati. Let us hope that he will continue that way. Aluta Continua.
Bado tuko naye sambamba. next step katika uwajibikaji ni kufunguliwa mashtaka ya uzembe, ulaghai, kujinufaisha isivyo halali na na kulingizia taifa hasara ya mabilioni. it is not over yet!
MKJJ
maslahi ya wengi kwenda kinyume na maslahi ya taifa hiyo nayo imo! but it is subject to time limitations.kwa mfano kuna baadhi ya nchi hapa duniani 'vyama vya wafanyakazi..kwa maana ya labour unions' vina nguvu kubwa sana and they most often hold the entire economy hostage kwa kudai...
MKJJ,
maslahi ya taifa (national interest/ public interest) could be equated with a word that is not very much in circulation these days and that is 'manufaa ya umma', umma being an arabic word meaning masses. therefore literary speaking maslahi ya taifa is a relative term..the opposite of...
for the record: wakati wa harakati wa kudai uhuru wa tanganyika, makahaba na malaya walichangia kwa hali na mali chama cha TANU at a time when it was not possible for the civil servants to do so. Ten years baada ya uhuru, tulipoanza kuwa na wanawake wasomi, TANU ikawapiga kibuti...
in the ideal situation JK alitakiwa azingatie: 1. TOR ya kamati 2. Sifa/uwezo anaotakiwa awe nao mjumbe wa kamati 3. ameridhika kwamba katika watanzania wote...hao watu aliowateua ndio wenye sifa ya kufanya hiyo kazi. 4. 'define conflict of interest in this issue 5. decide where there is...
digusting but not totally unexpected from a person of his calibre! charity begins at home. je mheshimiwa yuko tiyari kupendekeza kwamba hoja yake hiyo ianze na wabunge?
ccm wameona wamezidiwa kete na wapinzani..re vita dhidi ya rushwa. in the court of public opinion ccm ni chama kinachohusishwa na kutetea rushwa na ufisadi.....it is time to reclaim the high moral ground from the opposition. kuna haja ya 'kupokonya' vita dhidi ya rushwa na ufisadi kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.