Ila wewe ambaye eumetoa hizo allegation kwa mbowe uwe na ushahidi ,maana statement yako inaonekana kam ya kuhisi hisi tu ,haina mantiki sana,MAO TSE TUNG anasema NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK.
Jamani naomba kuto hoja, hivi ni kweli kuwa suala la Richmond halina tija kama linavyodaiwa na katibu wa bunge ,jamani si wanalindana hawa, tuchukue hatua jama
Binafsi nionavyo mimi, mzalendo ni mtu ambaye ana moyo wa dhati katika jambo fulani ambapo yeye atahakikisha anasimamia na kulinda maslahi ya kila mdau kuhusiana na jambo husikka,mathalani viongozi wetu ambao tumewapa jukumu la kuhakikisha wanatuongoza sisi kama taifa katika mchakato mzima wa...
Ila jenerali ni mzalendo wa kweli, embu jaribuni kuzisoma kwa utulivu na umakini sana makala zake,jamaa huwa anachambua mada kwa ufasaha sana, kwa kweli ni zenye umuhimu sana kama viongozi wetu wataamua kuzifuatialia nakuzifanyia kazi
Ebwana huyu jamaa makwaia, mimi huwa nashangaa sana pale anapojiita eti yeye ni senior journalist,sasa nashindwa kuelewa hivi ni nani ambaye amempa hicho cheo wakati hata hastaili,kwa sababu embu angalia katika vipindi vyake avyoendesha channel ten yaaani jamaa huwa hawezi kabisa kumsikiliza mtu...
Binafsi nafikiri,huyu jamaa(kapuya) yeye anatoa lawama hizo bila kuangalia chanzo kikubwa cha tatizo,mimi naona kuna tatizo la kimfumo hapa maana mfumo wetu wa elimi ni mbovu sana na ubovu huo unachangiwa na viongozi kama akina kapuya ambao wao kazi yao mkubwa ni kushiriki tu semina na warsha...
Ebwana binafsi nafikiri linapokuja suala la uchaguzi hasa katika mfumo wa kidemokarasia kila mtu anao uhuru wa kugombea nafasi yeyote anayoipenda,sasa kama mwakalinga analitaka hilo jimbo la kyela basi atakuwa anatimiza wajibu wake kama mwananchi,labda kikubwa tu ni kwamba wale ambao wanataka...
Binfsi nafikiri suala hili ni pana sana na sababu zake zinaweza kuwa nyingi sana,lakini iliyo kubwa kabisa ni umaskini wa kipato ambao unawakabili watu wengil akini hawa dada zetu wenyewe wanapenda short cut ya maisha ndio maana wanajiingiza katika hilo suala,maana kuna kamsemo kanakosema...
Ebwana swala hilo mimi binafsi nakubaliana nalo kwamba kweli vijana wengi wa kibongo wanafanya hivyo wanavyofanya kama short cut ya kupata maisha mazuri, lakini sababu zinazo wafanya wafanye hivyo wanavyofanya zinachangiwa na mambo mengi sana mfano unakuta mtanzania analipwa ujira mdogo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.