Nimezaa nipate cheap labour.
Vikikua kidogo vinafanya kazi za nyumbani no housegal.
wakiwa wakubwa wanakua wasimamizi wa tuofisi twangu mimi nabaki na jina la mkurugenzi tu.
Nikizeeka nikawa tegemezi watanilea kwa upendo ambao nisingeupata kama nisingekua na watoto.
Nikifa/zeeka sana...
Acha wivu mi naona yanampendezea ndo mana kajiita makebo/tako na sijui anatusi tu au pia anafanyaga haya matusi.
All in all Sir Makebo apewe uhuru wake wa kutukana ni utamaduni wake keshauzoea toka yuko mchanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.