Recent content by pmwasyoke

  1. pmwasyoke

    Maopareta wameamua kama mbwai na iwe mbwai, Mwingine abomoa Ofisi ya Serikali Kwa Excavator.

    Magonjwa ya afya ya akili. Lakini mara nyingine magonjwa haya huchagizwa na manyanyaso ya namna fulani.
  2. pmwasyoke

    Jirani anamshawishi mke wangu aniache, akimuahidi atamuoa na kumtunza

    Mmesejie huyo mbaba kwa kutumia simu yako kwamba unazifahamu harakati zake kuhusu mkeo. Hapo ndio ataelewa kwamba ombi lake limekataliwa.
  3. pmwasyoke

    Kamati ya Bunge yataka wanaopita daraja la Tanzanite kuanza kulipia

    Mkuu Hakuna awezaye kutokulipa kodi kabisa maishani mwake hapa nchini. Yewaezekana kulipa kodi pungufu ya itakiwayo, lakini si kuikwepa kabisa.
  4. pmwasyoke

    PostGE2025 Lutgard Kagaruki: Tukasikia maiti zimepotea na Hatujui miili ilizikwa wapi

    Hivi kweli mazingira ya chaguzi za 2029/2030 yatakuwa na unafuu kwa kasi ya kufanya marekebisho/ maridhiano iliyopo?
  5. pmwasyoke

    Mvuti pakoje kibiashara, kilimo na maisha kwa ujumala?

    Sio mchezo. Hata huku nje kabisa ya Mvuti kijijini Dondwe walisemaga kuna wachawi sasa 20mX20m (sq m 400) unaipata kwa milioni nne!
  6. pmwasyoke

    Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Wapo ambao wangependa yaliyotokea Octoba 2025 yasijadiliwe na yasauliwe kabisa. Hawa kwa namna moja au nyingine walishiriki au wana uhusiano mkubwa na wauaji!
  7. pmwasyoke

    Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Mkuu wa Mkoa apambane sasa hadi kieleweke - maana ikifika 2028 ataambiwa asiwabugudhi wapiga kura!
  8. pmwasyoke

    Magereza wagoma kutekeleza amri ya mahakama ya kumruhusu Tundu Lissu kuwasiliana na mawakili wake

    Wenye mamlaka wanamwogopa mno Lisu. Hawawezi kuruhusu azingumze kwa faragha na watu wengine!
  9. pmwasyoke

    Nimeona ni bora niwekeze huku.

    Nayo ya kutapeli watu kupitia mgongo wa dini ni taaluma na iheshimiwe!
Back
Top Bottom