Recent content by Plaintiff

  1. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Nadhani design ya engine, Parallel twin pistons
  2. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    750$ ni service ya kawaida kabisa ya Gari. Ndio maana nikakuambia umasikini ni mentality.
  3. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Any suggestions? Inayoweza kuwa inaelekeana na hii. Isiwe single cylinder.
  4. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Umasikini ni mentality.... hili nalo ni gumu kuelewa?
  5. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Ushauri wa Kimasikini kama huu sitaki hata kuusikia.
  6. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Nataka kutoka kwenye Fekon niingie humu. Ila nina mpango wa Kuagiza. China nimeipata kwa around $750 ambayo ni around 2.1M gharama inainclude kuipeleka kwa transporter wa kuileta Bongo na Packaging. Aliyewahi safirisha hii kitu kutoka nje naomba anipe gharama za usafiri alitumia sh. Ngapi na...
  7. Plaintiff

    Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Dini ya Wanafiki hiyo. Mungu asiyeweza kujitetea mwenyewe mpaka watu washike viboko huyo hastahili kuwa Mungu. Funga ya kweli mtu aridhie kutoka katika moyo wake na siyo kulazimisha watu. Mungu hajawahi kuwa hivi.
Back
Top Bottom