Rubbish!! Mlivyoanza kumpinga Magufuli tu mkishirikiana na huyo Mange na mpumbavu mmoja anajiita kigogo nikawaona hamna maana Kwa taifa.Sasa mmegeukana sisi tunawaangalia tu
Umeandika upuuzi mtupu bila kutumia akili hata kidogo. Unavyoonekana umelewa ukabila hadi unatapika. Aliyekwambia Angelina Mabula ni mzaliwa wa Tabora ni nani? Hata kama angelikuwa kuna tatizo? Tunataka watu wanaowajibika kwa wananchi siyo jitu linateuliwa linakaa tu ofisini kupanga madeal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.