Recent content by philipophilipo

  1. P

    Made in Lagos...

    Inawezekana aisee
  2. P

    Made in Lagos...

    Album ambayo imesubiliwa sana na mashabiki zake na ilipikwa muda mrefu sana hapa namzungumzia Star Boy Wizkid. Kupitia I.G yake Wizkid anatuambia Mwezi wa 10 anaachia Album kama inavyoonekana hapo kwenye post yake ya Instagram.. Kwenye hiyo album ni ngoma mbili tu ambazo zimesikika moja...
  3. P

    Nani Mkali: Justin Bieber vs The Weeknd

    Hahahaha......Ni Michael Jackson anaeishi(voice)
  4. P

    Nani Mkali: Justin Bieber vs The Weeknd

    call out my name🔥
  5. P

    Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

    Niajui inamaana hujawahi kusikiliza Fall,if,blow my mind za davido?
  6. P

    Nani Mkali: Justin Bieber vs The Weeknd

    Huyu the Weeknd ana-sound kama Michael Jackson ukisikiliza hii Starboy,Call out my name,The hills, N.k Ni hatari sana. Justin Bieber mtaalamu wa Sorry,What do you mean,Love youself, n.k Nani zaidi kati ya Justin Bieber na The Weeknd kwenye nyanja zote za muziki? Forgive me
  7. P

    Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

    Star Boy Wizkid na O.B.O Davido nani zaidi kwenye mziki wa Afrika na nje ya Afrika?
  8. P

    Wizkid aachia ngoma mpya aliyomshirikisha H.E.R kutoka Marekani

    Wangapi wamesikiliza ujio mpya wa Wizkid StarBoy. Ameachia ngoma yake mpya akimshirikisha mwana dada H.E R kutokea Marekani. Wizkid ft H.E.R Smile. Ngoma hii inapatikana kwenye Album ya Wizkid iitwayo MADE IN LAGOS ambayo itaachiwa hivi karibuni Amerudi vizuri au ya kawaida tu??
  9. P

    Bruno Mars vs Justin Bieber

    Ndipo anapotoka?
  10. P

    Bruno Mars vs Justin Bieber

    Hivi kati ya Justin Bieber na Bruno Mars nani zaidi? Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
Back
Top Bottom