Recent content by Petro Oswald

  1. Petro Oswald

    Kwanni huyu mama yangu hayaoni mema yoyote ninayomfanyia?

    Kutokana na hali yake kwasasa, msamehe na endelea kumtunza Mama yako. Dunia haitakuelewa endapo utachukua maamuzi magumu kwake, hata kama makosa ni yake.
  2. Petro Oswald

    Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

    Elimu ya Magharibi inaweza ikawa na madhaifu yake, lakini kwenye hili la Dunia kuwa spherical nawaunga mkono. Hoja nyingi zinazotetea dunia ni flat hazina mashiko kuliko zinazotetea dunia ni kama tufe.
  3. Petro Oswald

    Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Ninahitaji tiba mkuu. Nasumbuliwa na hili tatizo.
  4. Petro Oswald

    Mke wangu simuelewi. Naombeni mawazo yenu

    Ninachokijua ni kwamba ni ngumu sana kumridhisha mwanamke mwenye uraibu wa kujichua kutokana na sababu zifuatazo; 1. Kinembe kinakua kimepoteza msisimko kutokana na ganzi inayochangiwa na kusuguliwa mara kwa mara. Hivyo mwanamke huyo atalazimika kusugua eneo hilo kwa muda mrefu ili apate...
  5. Petro Oswald

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sema insider kama kula ile kitu umeila vilivyo. Umekula vitumbua vya kila aina! Anyways, uliwahi kuahidi utakuja kueleza namna ulivyopona shida ya nguvu za kiume. Tunasubiri.
  6. Petro Oswald

    Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Watu wana miaka 70 na wanapiga show vizuri tu😀
  7. Petro Oswald

    Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Natamani uelezee kiupana juu ya uhusiano wa nyayo na ardhi.
  8. Petro Oswald

    Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Mbona unakerwa na mambo madogo namna hiyo mkuu?
  9. Petro Oswald

    Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

    Ugali kabeji haufanani na pilau nyama. Ukute washkaji wanakutana na ugali kabeji daily, lazma ukinai.
  10. Petro Oswald

    Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    Unakua kama ni mgeni kwa wanawake mkuu? Mwanamke anaweza kukuonesha attitude zaidi ya tano ndani ya mwezi mmoja. Unachopaswa kufanya ni kumjua mkeo vizuri, hizo ndo tabia zao jitahidi uwe mkomavu utatue matatizo yako mwenyewe. Kuishi na mwanamke sio kitu rahisi.
  11. Petro Oswald

    Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

    Mimi siyo nabii lakini anguko lako lipo kwa mke wako wa zamani. Uimara wako upo kwa mwanamke wako wa sasa, ukitumia akili kufanya maamuzi utapona.
Back
Top Bottom