Recent content by petro matei

  1. petro matei

    Dawa za supplement si salama kwa mtoto wako

    Kweli kabisa habari ya kuwapa watoto fake vitamin kama tunaishi sehemu hakuna chakula halisi kama iv
  2. petro matei

    Dawa za supplement si salama kwa mtoto wako

    Kwa Sasa imekuwa kama fashion kwa matumizi holela ya hivi virutubisho vya Kinga ya mwili na kuongeza ufahamu kwa mtoto, kumpa mtoto wa mwaka mmoja Hadi 14 virutubisho bila ushauri wa daktari ni hatari, unakuta mtoto amezaliwa na afya njema unampa virutubisho vya nini wakati maziwa ya mama...
  3. petro matei

    Ushauri foleni barabara ya Goba

    Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku. Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi. Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
  4. petro matei

    Waimbaji wa nyimbo za injili wengi wao ni aibu kwa Kristo (NENO) wanaliabisha kanisa

    1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa...
  5. petro matei

    Vita ya Kiuchumi: Ningekuwa Rais wa Tanzania ningeanzisha ujenzi wa reli ya SGR kutokea Bandari ya Tanga hadi Kagera, Rwanda na Uganda

    Dah hili wazo Leo naona kenya na uganda wanataka kujenga wao😭 Uliona mbali
  6. petro matei

    Nimesoma kitabu chote cha Mtumishi wa Mungu Dana Morey sijaona viashiria vyovyote vya ushoga

    Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow) Kwa...
  7. petro matei

    Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

    Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla. Bandari hii inajengwa...
  8. petro matei

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme. Hivi ni ujinga au ushamba?

    Tatizo umeme sio wa uhakika mfano unapika ugali mara umekatika si utaishia kunywa uji ndio maana watu wengi wanaishia kutumia gesi inakuwa na uhakika chakula kuiva bila shida
  9. petro matei

    PreGE2025 Kitendo cha Heche kusema akiingia madarakani anafungia betting kimenitia hasira, Oktoba kura yangu kwa CCM

    Ajasema hapo atafungia bali utakuwa mwisho wa vijana kubeti akimaanisha kuwa mwisho wa vijana kutegemea betini na sio kufungia betini
  10. petro matei

    Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

    Safi Mama ni msikivu anasikia
  11. petro matei

    Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

    Kama Chato inapigania kuwa Mkoa kwann sio Bagamoyo yenye vigezo vyote
Back
Top Bottom