Recent content by Petro E. Mselewa

  1. Petro E. Mselewa

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Nakosaje Mkuu? Sema tu sina speed ya kuandika kinachosemwa!
  2. Petro E. Mselewa

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Kazi imeishia hapa: Kwa ushahidi uliotolewa kuna mambo ambayo hayabishaniwi, kwanza Chadema imekuwa inatetea mabadiliko ya kikatiba, na mfumo wa uchaguzi na msimamo wa No reforms, No election, kupitia mkutano huo wa 3/4/2025 mshtakiwa alitoa hayo maneno mbele ya viongozi wenzake, wanachama...
  3. Petro E. Mselewa

    Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

    Williete waliowahi kukipiga na kutolewa na Yanga msimu uliopita, kumbe wamo. Walipocheza na Yanga waliitwa vibonde
  4. Petro E. Mselewa

    Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

    Sorry, imetolewa pia na Red Arrows ya Zambia
  5. Petro E. Mselewa

    Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

    Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika, Mamelodi Sundowns aka Masandawana ya Afrika ya Kusini wametupwa nje ya michuano hiyo baada ya sare ya 1-1 nyumbani kwake dhidi ya Williete ya Angola. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Angola, timu hizo zilitoka 0-0. Kwa matokeo ya leo, Masandawana...
  6. Petro E. Mselewa

    Makonda: Waandishi natamani leo mniulize maswali magumu, sitafuatilia kama una Ithibati

    Watani zangu wasukuma wana mambo ya ajabu sana....hapo anawaruhusu halafu akiulizwa maswali magumu atashindwa kujibu na kuwa mkali. Waandishi wana maswali magumu. We haya tu!
  7. Petro E. Mselewa

    KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    KIKOSI KAMILI CHA WACHEZAJI WA MBEYA CITY WATAKAOSHIRIKI MSIMU UJAO 2017/2018. - August 10, 2017 Nijuzehabari Blog imekuwekea hapa Kikosi kamili cha wachezaji wa Mbeya City watakaoshiriki msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/18 tazama hapa chini pia usikose kufatilia nijuzehabari.com...
  8. Petro E. Mselewa

    Responded Madai ya kutumia jina la mtu, David Kameta "Duchu" asema “Sijachukua hatua yoyote, si kila kitu nitajibu"

    KIKOSI KAMILI CHA WACHEZAJI WA MBEYA CITY WATAKAOSHIRIKI MSIMU UJAO 2017/2018. - August 10, 2017 Nijuzehabari Blog imekuwekea hapa Kikosi kamili cha wachezaji wa Mbeya City watakaoshiriki msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/18 tazama hapa chini pia usikose kufatilia nijuzehabari.com...
  9. Petro E. Mselewa

    GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Hivi ni V8 tu au hadi kujaziwa mafuta na madereva kwa kipindi chote cha kampeni? Msaada kwenye tuta wakuu
  10. Petro E. Mselewa

    Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Linaongelewa Jimbo la Butiama, nyumbani kwa Hayati Mwalimu J.K. Nyerere. Mbunge aliyemaliza muda wake ni Ndugu Jumanne Sagini. Aliyembwaga ni Ndugu Wilson Mahera. Am I correct?
  11. Petro E. Mselewa

    Hakika Tanzania ni Tajiri hadi maji yanawaka

    Hapo ni wapi? Ingawa mimi si mtaalamu wa nishati, hapo panaweza kuwa na gesi asilia...
  12. Petro E. Mselewa

    Rais Samia umeruhusu hii? Ichukulie hatua kali

    Mkuu, hao waliochapwa walikuwa wafanyabiashara wa kununua vyuma chakavu. Katika biashara yao ikatokea wameuziwa viti na meza za shule pale Arusha kama vyuma chakavu. Walipokutwa navyo, pamoja na kujieleza mbele ya DC Kihongosi kama alivyokuwa, wakatandikwa viboko kama njia ya kuwafunza uzalendo!
  13. Petro E. Mselewa

    Rais Samia umeruhusu hii? Ichukulie hatua kali

    Hizi hizi. Angalau ujumbe tu utumwe
Back
Top Bottom