Katika ile kesi inayomkabili sheikh ponda ambayo kwa sasa inaendelea kwa kutoa utetezi kwa upande wa washitakiwa,juzi alisimama mzee mmoja aitwae bilal waikela ktk kutoa ushahidi kwa upande wa mshitakiwa.
Mzee huyo mwenye mvi zenyekuonesha kiasi ya chumvi aliyokula alielezea historia fupi juu...
Ile kesi inayomkabili sheikh Ponda mwanahakati na mtetezi wa ukweli wa waislamu na mali za waislamu itaendelea jumatatu baada ya upande wa mashtaka kusuasua ktk kutoa ushahidi waukweli na kusababisha upande wa mashtaka kufunga jalada la ushahidi.
Hii inaonesha ni namna gani jambo hili...
Nimewasoma wanajamii forum,
Kipimo cha uwezo wa kufikiri kwa mtu hupimwa kwa uwezo wake wa kufafanua mambo kwa kuwa huru ubongo wake na kuwa tayari kupokea kitu. Watu wengi wamefurahia kufungiwa redio iman, si kwa sababu iliyotolewa na TCRA ila ni kwa sababu ya mguso wao kwa watu wajionao kuwa...
Mnazitoa wapi hizi habari za uzandiki na uwongo uliopeya(komaa).hivi hili ni jukwaa la great thinkers kweli?great thinkers hawa nakili(copy) na kubandika(paste)kila wakisikiacho.watanzania wengi wanawaheshimu watu wengi wanaotumia mitandao wakiamini kuwa ni watu wenye weled mkubwa wa ujuzi wa...
mshiushutumu uislam kwani uislam hauruhusi maua yanamna hii.huruhusu kisasi kwa kias cha kitendo kilivyofanyika.msitafute njia ya kuhilikisha waznz.mim nionavyo acheni serikali ifanye uchunguzi kama walivyofanya uchunguzi 2001 pemba na 1998 mwembe chai.asionekane ilunga ni mchochezi au...
Nimewasikia kila mmoja ameeleza kias chake ila swali nin kinachomnyima ponda dhamana?mnakumbuka kiasi miez saba hivi nyuma kanisa la mwingirwa walivamia kiwanda cha afroplus cha uchapishaji vitabu vya kiislam na vingindvyo na kuchoma moto?mpaka kamanda wa mkoa wa kinondoni alisema vitabu vingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.