Mi nipo shule bado nasoma ila nataka kufanya biashara ya daladala ili niweze kujiendeleza kimaisha mapema,ni biashara ambayo naipenda kuifanya kutoka moyoni mwangu,kwa yeyote mwenye uelewa na biashara hii nahitaji ushauri wake,ikiwa ni pamoja na mtaji ninaotakiwa kuwa nao na mambo mengine!
Kiukweli kutoka moyoni mwangu Cdm ikiendelea na speed hii 2015 wanaibeba hii nchi, Marandu amemuomba waziri mkuu Pinda awe wakili wa madiwani waliotimuliwa Arusha na yeye(Marandu)awe upande wa Cdm!tunasubiri hizo cku 30,walizopewa serekali kabla hatujaandamana kweli sijutii nauli yangu yaani...
Mimi nimebaki na washangaa wtz wanaowashukuru EURA,kwa kushusha bei ya mafuta kwa 7%mpaka 8.5%,mi nathubutu kuwaita hawa jamaa ni wezi na huenda walinyooshewa mkono na wamiliki station za mafuta,kiukweli katika soko la dunia bei ya mafuta imeshuka kwa 22%sasa kwanini wao washushe kwa 7%mpaka...
Huyu jamaa inaonekana hajui kabisa hicho alichokiandika!hivi wewe ni mkimbizi eeh?itakuwa umetokea Libya ivi majuzi ndo maana hujui mazuri aliyotenda huyo jamaa!Lowasa ni nondo anajua siasa pia ni mchapa kazi kwa maisha yake yakawaida na serikali ndo sababu ana pesa nyingi,we ng'aa macho utakufa...
Moshi m.jini Nape atakuwepo saa 8 mchana maeneo ya stand ya Mabasi yaendayo mikoani,ameenda kutoa heshima za Mwisho kwa chama chake,sababu kinamadiwani wawili tu kwa manispaa ya Moshi mjini na 2015 mazishi rasmi ya chama chake yatafanyika huko Moshi maana watapata '0',nendeni jamani mkakiage...
Huu ndio mguso wa fikra zangu kwa leo!kiukweli ni chama pekee ambacho kwa sasa kimeonyesha kupendwa na wananchi wengi hasa hasa vijana na hii ni kwa sababu ya ujasiri na uwazi wa viongozi wake ambao waliamua kuyatoa maisha yao kwa ajili yawatanzania,walizika wazi kashfa zote nzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.