Recent content by Perfectionism Materialism

  1. P

    Madhaifu yangu kwa mke wangu yamegeuka kuwa fimbo yangu

    Sioni kosa lako kaka. Ulimfanya kama rafiki,ukamwelezea uhalisia kwa upendo . Sasa matokeo yake ameamua kuutumia huo ukweli kukufanya mtumwa wake. Kaa chini tafakari kipi ni bora then fanya maamuzi.
  2. P

    CHODAWU: Wafanyakazi wa ndani wasiitwe ‘dada’

    Mm mwenyewe hilo jina "Beki tatu" huwa sipendi kusikia wakiitwa coz halijakaa kiutu na sometimes nikilisikia natamani kucheka. Hicho chama kisiishie tu kupigania haki za wanachama wao bali wafundishwe customer care nzuri na wawe royal kwa waajiri wao. Zipo kesi kibao za hao "wadada wa kazi"...
  3. P

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    RIP mwanaJF mwenzetu. Poleni ndugu,jamaa,marafiki na wanajamii Forom wote.
  4. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Sitaki ku-conclude kwamba na wewe ni shoga lakini naona unafosi sana neno "shoga" "shoga" "shoga" ktk uwasilishaji wako lakini mm sijalitaja kokote. Kwangu mimi sihukumu mashoga coz with due time hii hali itakuja kuonekana kitu cha kawaida tu kwenye jamii zetu. Am sure baadae hata kelele za...
  5. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Kusema Wabongo wengi tuna bias huoni na wewe una-conclude negatively? Wengi ni ngapi na kinyume chake ni ngapi? Na hao wengi ni asilimia ngapi na kinyume chake ni ngapi? Mkuu nafikiri tukubaliane kutokubaliana mada iendelee kuwa hivyo tu. Muunge mkono mleta mada lakini na mimi nibaki na maswali...
  6. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Kuelezea hali fulani ni sawa lakini tusifungwe minyororo ya kuhoji lipi ni lipi,zuri ni lipi na jema ni lipi.. Ikiwa utatushangaa sisi tunaohoji iweje 47yrs fella awe bado bikra,basi na sisi tunakushangaa wewe unayetushangaa. Basi hakuna haja ya kuwa na uwanja wa comments...
  7. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    🤣🤣 hujanielewa mkuu. Nilimaanisha Lengo mama= Lengo kuu
  8. P

    Wanaume, ni kitu gani mnatamani wake zenu wakielewe lakini hawakielewi? Njooni 'tuzogoe'

    Ni maswali ya kawaida kabisa lakini yafaa wanawake zetu wajue kwamba sisi wanaume hatupendi petty questions like:- 1. Uko wapi? 2. Nipike nini? 3. Unarudi saa ngapi? Ni maswali fulani yamekaa kaa kama kujali hivi,kiromantic fulani hivi lakini yanakata stimu kinoma
  9. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Absolutely am capable of carry that empathy.. Lakini awe tyr ku-expose hali yake ili tumbebe kulingana na uhalisi wa hali yake,sio kujificha ficha. Ukisoma btn the lines ktk thread yake unaona nini hasa lengo lake mama?
  10. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Miaka 47 bila kudinya (ukiachana na special cases) hapana aiseee
  11. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Mkuu nakuelewa lakini sio kila jambo yafaa liwe case study ya kujifunza positively. Kwa hili yawezekana nikachora conclusion kabla hata ya research yenyewe. Sio kwamba tunangangamala kukariri mambo ila am sure hata mhusika mwenyewe hana uwezo wa kukujibu vzr hayo maswali yako.
  12. P

    Nina miaka 47, sijawahi shiriki mapenzi!

    Who said about gayism? Mbona unajishuku? Sitaki conclusion yangu iwe hiyohiyo. Ninachomaanisha ni kwamba mtu upo 47yrs lakini bado ni BIKRA WA KIUME. Hii inafikirisha kidogo. Kama haupo kwenye special mission like upadre and alike, hio sio hali ya kawaida. Yes kufanya mapenzi na wake za watu...
  13. P

    Kwanini ulizaa, unazaa au una mpango wa kuzaa watoto?

    Kwangu mm ni kwa sababu ya generation continuity. Na kingine ni ile utamaduni/ mazoea ya kijamii tu kwamba lazima kila mtu azae. Kwa mtu ambae uko vzr kiafya,usipozaa kwenye jamii zetu kuna namna wanakujudge negatively. Hii imepelekea watoto wanaozaliwa kinasibu tu bila mipango
  14. P

    Ma-CEO wakibongo kwanini makampuni yetu huwa yapo legelege sana ukilinganisha na yale ambayo yapo chini ya wageni? TUBADILIKE

    Hoja ilikuwa nzuri sana ila nahofu ulipoingiza tu issue za kisiasa itapata mwelekeo mpya ambao utakuwa mbaya nje ya mada lengwa
Back
Top Bottom