Huo n ubinafsi,ile shule ina watt zaidi ya elfu7..haiwezekan kufikiri kuhusu mtt mmoja tu mana ipo wazi wazaz wengi huchukua muda fulan kuweka ratiba vzr ili kulipa na sioni kama n sawa kuwalazimisha wote walipe ndani ya siku moja,uchumi unatofautiana
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.
Na ww kwa akilo yako ndogo unahisi kama taratibu toka zaman zingekua n tar fulani lazma ada iwe imelipwa ningekuja hapa kuleta...
Hujaelewa,kila mwaka ada hulipwa siku yoyote ndani ya muula husika na wakat huo watt wanaendelea na masomo,mbona nchi imejaa watu wenye ubongo mzto sana hiii.ajabu sana
Watoto hawapaswi kusumbuliwa kwa.namna.yoyote ile,taratibu imewekwa na ada italipwa,huwez kua unabadili tu utaratibu kila unapojiskiq sabb wew umepewa nafas sehem fulan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.