Recent content by Peacehand

  1. Peacehand

    Rais Mwanamke shujaa na shupavu ndio huyu

    Amelipa hela ndogo sana inamaana nchi ilikuwa inadaiwa chini ya tsh 5bilion
  2. Peacehand

    ETI 'WHO ARE YOU' Hhmmm

    Ni kweli alimaanisha sisi. Ingekuwa mabeberu angesema "who are they?
  3. Peacehand

    Hivi utaratibu wa vyeo Tanzania upoje?

    Umesahau na CPA eg makala
  4. Peacehand

    PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Mshtaki na yule aliyeahid kukata vichwa. Ashtakiwe huko maka
  5. Peacehand

    Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

    Hicho cheo sikujua kama kipo hadi alipishinda ndungulile. Nadhani hakina hata maji ya kunywa
  6. Peacehand

    Bodi ya mikopo

    Usipowaambia kama ulikopeshwa kuna ubaya gani kiongoz?
  7. Peacehand

    Bodi ya mikopo

    Basi wazazi walipe nusu
  8. Peacehand

    Bodi ya mikopo

    Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao. Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai wazazi fedha hizo na sio watoto kama wanavyofanya sasa ivi
  9. Peacehand

    PreGE2025 Boniface Jacob: Walimu na Polisi wanaisaidia CCM kuihujumu Chadema wakati wa Uchaguzi

    Kikubwa u-makini kama kituo kinawapigakura 300 halafu walimu wa tano wanasimamia kweli wapiga kura wote hao washindwe kuwazibiti hao walimu?
  10. Peacehand

    Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

    1.doto biteko 2.jenesta mhagama 3.majaliwa 4.masauni 5. Mavunde 6.ndumbaro 7. Gwajima 8. Bashungwa 9. Kikwete 10.bashe Hiyo ndio kumi bora
  11. Peacehand

    Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

    Ukianza kuhoji picha utahoji na aliandika nani. Cha msingi ni kwenda kuabudu
Back
Top Bottom