Recent content by Patriot3

  1. P

    Vyakula vya friji

    Sema neno
  2. P

    Vyakula vya friji

    Jamani ndugu zetu kuweni makini ni kutupashia vyakula vya friji. Juzi kwa aunt nimepewa maharage yameoza. Kutakataa ilikuwa taaabu😕. Nikajikaza kiume
  3. P

    Ipi namna rahisi ya kufika Kigali kutokea Dar?

    Naomba kujua namna rahisi ya kufika Kigali from Dar.
  4. P

    Uanachama wa CCM

    Nani huyo umjuaye
  5. P

    LGE2024 Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi

    Huna maarifa. Mwanadamu mwili na roho. Viongozi wa dini lazima wakali maslahi ya roho lakini pia na miili ya waumini. Ndio maana wanajenga hospital na shule . Ujinga pelekeni kwenu.
  6. P

    Uanachama wa CCM

    Kuna category mbili za wanachama wa CCM a) The Selfish b) The ignorant. a) The selfish. Hawa wanufaika wa mfumo moja kwa moja. Wanajua ubaya wote ila wana hofu na mabadiliko kwa kuwa yatagusa maslahi yao. Hawa kwa lugha ya kikombozi wanaitwa collaborators. Hawa pia walikuwa Kikwazo katika...
  7. P

    Changamoto ya AC kwenye mabasi

    Wao AC ni baridi hata kama kuna baridi tayari
  8. P

    Changamoto ya AC kwenye mabasi

    Watu wa mabasi bwana. Wao concept ya AC ni baridi. Usiku wa manane anapigwa 15 degrees. Halafu unaambiwa hii full AC.😀
  9. P

    International School vs Good conduct

    Primary na secondary
  10. P

    International School vs Good conduct

    Ni watoto tu wanaosoma huko. Nina project nafanya na watoto. Hawa wa international are difficult and so much entitled.
  11. P

    International School vs Good conduct

    Hivyo wanalea akili tu
Back
Top Bottom