Recent content by Paradisehome

  1. Paradisehome

    Kwa waziri (serikali), na raia - uhaba wa mafuta ya kupikia

    Nimesotea Miche mpk nikahewa, Nikahangaikia mbegu nikahewa,,,nadhani ni madeal hewa Jamaa aliwah kusema wanasiasa usiwaendekez utashindwa Jambo lako aiseee Km yupo wa kunisaidia mbegu niandae kitalu naomba msaada huo, Nb:usiniambie kwenda Tari
  2. Paradisehome

    Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Mchungaji1 hv wa kizungu alitangaza miezi mi4 before Katoro Geita, Runzewe nk mabango Kila eneo magari fujo km zote gharama ile haikuwa ndogo aiseee
  3. Paradisehome

    Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

    Sina hakika na madhara yake, lkn Kwa nilichowah sikia, Mwanamke kukutana nae ametoka kuharibikiwa mimba, au amejifungua inaweza kupelekea mwanaume kudhulika au hata kufa,,, niliona kwa rafiki yangu aliugua saana akatumia dawa akawa fresh, Ushauri wangu, Choma powercef zote 5 km sehemu ya...
  4. Paradisehome

    Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

    Unamfaham Mzee Wasira kweli???
  5. Paradisehome

    Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

    Hata yy aliyah Sema kuwa hata wanawak anaotoka nao,yaan fujo za kimahusiano zinalenga kuvuta masikio ya wateja hakuna la ziada,utasikia kamzalisha fulan,leo yuko na fulani ect
  6. Paradisehome

    Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

    Kana bei gani mkuu? Naona kanafaa kwa watu wa miji midogo
  7. Paradisehome

    Kutembelea nyota ya mtu mwingine

    Kama kweli umedhamiria, Changanua DNA hizo huchafuliwa na CHANJO? Maana japo mm sikuhusika na chanjo kupingana lkn bado watoto,vyakula,dawa ect vyaweza kuchafua hali ya hewa Watu kutembelea nyota ya mtu mwingine kwa nn usiewek waz km ulivyoanza....km sivyo yanarudi pale pale mganga anakupa...
  8. Paradisehome

    Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    Haya yote ukiyachunguza wengi wa walioandika ni vile hawana ndoto kubwa na kutaka kufikia kilele cha mfanikio, Unasema waganga kuwa ni akili finyu Wasomi wetu...why miaka fulani albino waliteseka? Why kila wakati wizara zinakula hasara? Why biashara ya viungo inachangamka mpk unashangaa...
  9. Paradisehome

    Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Mkuu shukrani kwa udadavuzi,,,,Kuna myu nimeona anaunda mashine yaani 2 in one,,,,j umewah sikia hiyo kitu?
  10. Paradisehome

    Mashine portable ya kusaga na kukoboa inauzwa

    Mkuu vip ufanyaj kazi wa hizi waweza kuniunganisha na mojawapo ya wateja wako nipate feedback
  11. Paradisehome

    Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

    Kabisa yaan, Mfano km dawa za binadamu kutoka nje ya nchi,zikiwa hazina usajiri duh Ni pesa ya mtelezo aiseee lkn wakikubamba aiseee
  12. Paradisehome

    Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

    Hapo hapo ngoja nijiunge mkono, Nina mshikaj tullikuwa nae wakat tunajisaka,,,,sawa eeee miaka miwili yy tyr akawa njema kbsa,gar la kumtembelea,quanter ya mizigo,jengo zuri la kisasa,viwanja nyomi,mashamba makubwa ufugaji mkubwa sijui nikuambie nn,,, Miaaka imakatika huu mwaka wa 10 nimeonana...
Back
Top Bottom