Recent content by papag

  1. papag

    Bado sijapata jibu sahihi

    Aliye kuwa Mkuu wa ardhi na nyumba na.... Juzi tu aliwaita wadau wa ardhi na moja ya ahadi zake ilikuwa kuwasughulikia sekta ya REAL ESTATE. hajafika hata dodoma. Wamekula kichwa. Alikurupuka?
  2. papag

    Wenzangu mmeelewa nini kwenye picha hii ya Masoud Kipanya?

    Mchora Katuni Masoud amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Instagram Picha yenyewe ni ya mwanamke aliyesimama juu ya tawi la mti, akiwa amevaa vazi refu la kijivu lenye mistari, mtandio wa rangi ya waridi (pinki) shingoni/kichwani na viatu vyenye visigino virefu. Mkononi mwake wa kulia...
  3. papag

    Lindi Mkoa uliokufa, nini kifanyike ili kuunyanyua huu Mkoa?

    Zile bar za yule mchaga pale lindi mjini karibu na uwanja zipo bado?
  4. papag

    CHADEMA someni alama za nyakati kuepuka kufutwa

    hivi nao hawaja kwenda naye huko ziarani kwake? kipindi kile si waliomba wawe wanakwenda naye ziarani kwake?
  5. papag

    Mwanaume hapo vipi?

    sijakisikia mwanaume!
  6. papag

    KP on 1 n 2

    Bhagosha
  7. papag

    Bagonza: Yesu haitaji vilainishi, chumvi, udongo na mafuta ni ujasiriamali na mnatajirisha watu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema Yesu haitaji vilainishi, chumvi, udongo na mafuta ni ujasiriamali na mnatajirisha watu
  8. papag

    Rais Samia: Tume ya Maridhiano tutaitangaza hivi karibuni

    Maridhiano na nani? Kwa lipi? Ya 98%?
  9. papag

    Leo sijamuelewa KP

    Mwenzangu nieleweshe
  10. papag

    KERO Chuo cha CBE hakiwatendei haki wanufaika wa mikopo

    Kizazi cha ajabu kabisa hichi. Yaani nina miaka kibao sijasikia KUNJI vyuoni. Pathetic
  11. papag

    Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    CDM muwatoe jamani kwani hawakushiriki uchaguzi. na wala hawakusambaza silha kwenye makontemaaa. endelleni tu kuwawinda na kuwauwq na kuwafunga
  12. papag

    Kila mtu atafikiwa

    Ni suala la muda tu. Mi5 tena
Back
Top Bottom