Recent content by Panda Kapesi

  1. P

    Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

    Usikute walikuwa wanaogopa ndege inaweza kukamatwa kufidia madeni ya wakandarasi wanaotudai[emoji13][emoji13][emoji13]
  2. P

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Watadaiwaje kodi wakati hawafanyi biashara na wanafadhiliwa 100%! muwe mnasoma kabla ya kucomment!
  3. P

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    This is so sad! hawa viongozi wanaipeleka wapi hii nchi!
  4. P

    Wimbi la Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kutishiwa kuuawa linalenga jambo gani na kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Na walivyopanga kumuua Lissu ili iweje? uwezo mdogo wa kufikiri au umejazwa propaganda za kipuuzi hadi hujitambui au shule ndogo unakosa kufahamu wa kuanalyze situation. I truly feel sorry for you slave of the system!
  5. P

    Huu ndio Mtihani kwa ACT-Wazalendo: Kukubali maridhiano na kuunda Serikali

    Kweli kabisa. Huyu Mayalla ni kiumbe cha ajabu sana siku hizi hadi anatia kichefuchefu!
  6. P

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

    Hizi ni lugha za kisiasa kama madreva wanavyozozana barabarani. Dont take it personally![emoji4]
  7. P

    GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    kweli kabisa. sielewi kwa nini wachome moto ushahidi! ni upumbavu uliokithiri!
  8. P

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

    you are such a dumb jerk! unaishi dunia gani wewe kilaza?
  9. P

    GE2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

    una matatizo huko kichwani maamuma wewe
Back
Top Bottom