Kwa mujibu wa Taarifa ya kamati ya bunge iliyoundwa na Bunge kwa ajili ya kuchunguza athari zilizojitokeza ktk operation tokomeza. Ripoti hii nimesikiliza, nimesikiliza pia michango ya wabunge. Kilichopo kwenye riport ni aibu kwa serikali ya CCM na huwezi amini kama walifanya haya ni Waatanzania...
Hapo kwenye bold zingatia, Chadema hatutaki washabiki wa watu fulani, tunataka wafuasi wa Part idiology (Mlengo wa chama), tena bora uondoke na Zitto wako. Chadema ni chama kinachotarajiwa kuishi miaka mingi ijayo hivyo lazima kijengwe kwenye misingi ya sera, na kipendwe kwa sera zake sio kwa...
This is political plagiarism, acknoledge the source we mwananchi wa Iramba, ambae 2015 tunae.Ungeweza kusema Alichofanyiwa Zitto na Mkumbo ni Akili ndogo kutawala akili kubwa (Msigwa, 2012). aKwa kusema hivi ungekuwa salama we Mwananch wa iramba.
Maccm watakuwa wamefurahi sana, vita ya panzi hii, lazima washibe. Na kama ni wasira sasa atalala usinginzi akjua sasa tumeiweza CDM sasa hivi ni mtifuano wa ndani mpaka 2015.
It is True, Ni msiba Mkubwa, Msiba wa Kitaifa, Ni simanzi kwa Watanzania wote na hasa wapenda haki, Dr. Mvungi alikuwa mwanasheria nguli aliyebobea kwenye masuala ya katiba (Constitutional Law). Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu ambaye Taifa lilikuwa bado linamuhitaji sana hasa katika kipindi...
It is True, Ni msiba Mkubwa, Msiba wa Kitaifa, Ni simanzi kwa Watanzania wote na hasa wapenda haki, Dr. Mvungi alikuwa mwanasheria nguli aliyebobea kwenye masuala ya katiba (Constitutional Law). Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu ambaye Taifa lilikuwa bado linamuhitaji sana hasa katika kipindi...
Ndg wana Janvi!
Ni muda sasa kumekuwa na malumbano ya wazi kati ya viongozi wa chama changu CDM. Malumbano yenyewe hasa yamekuwa kati ya viongozi waandamizi wa chama. Naiona CDM inapita katika kipindi kigumu sana pengine kushinda kipindi kingine chochote katika uhai wake. Nasema hivyo kwa...
Kwa mgonjwa wa akili kama HK ni kitu cha kawaida kusahau alichosema jana au juzi, msishangae. Ndo huyu huyu alikuwa anadai eti Tundu lissu ana ugojwa wa akili du! kumbe alisahau kuwa yeye ndio mgonjwa wa akili na leo tumejua alikuwa anamaanisha nini.
Acha ushambenga wa buku saba we mama, Dhuluma ya Akoonay iko wapi kama order ni ya Mahakama na wasimamizi wa ubomoaji walikuwa policcm. Siku zote nasema CCM wachache sana wanaweza kufikiri na kudadisi vitu rais. Umesema huyo kijana ameletewa Court order sasa ni mahakama gani inaweza kutoa hukumu...
Honey Dia..na, pole sana! Labda utusaidie kwanza maana ya uchochezi, then utuambie Dr. Slaa amefanya uchochezi gani. Usije ukawa kama wenzako, Oooh Lwakatare Gaid, nadhani sasa hamna swali juu ya nini maana ya ugaid baada ya yale ya westgate. Tatizo la wanaccm wengi hawahangaishagi akili zao...
Bora Dr slaa anaonekana hata kuwa na hoja kwenye biashara na kilimo kuliko Rais Kikwete anaeendaga kutumia kodi zetu kwenda bembea badala ya kutafuta suluhu ya matatizo.
Uchambuzi wako wa kanuni pamoja na mengine unaonekana umejawa na hisia za kiitikadi, hata kama Kigwangalla utasema kwa hisia kiasi gani haimaanishi kuwa ndio umesema ukweli. Lakini labda mi ninachoweza kukubaliana na wewe ni juu ya tabia ya ukweli, ambacho kwa muono wangu na pengine wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.