Acha aulize tu, maana hilo jambo ndivyo linavyosimuliwa ma kufundishwa kwa mujibu ya maandiko yao wenyewe, wala siyo kashfa. Ila hayo ya Ukatoliki huwa ni madai na mashambulizi wanayoyayengeneza wakihisi watakuwa salama
Ningegombea na mimi si ningekuwa sehemu ya Wajinga? Kuna nyakati fursa huwa ni kwa ajili wa wajinga tu ni kama viti maalum ni kwa ajili ya watu fulani tu
Mnatoa ushauri wee, ukute singo yenyewe ambayo jamaa amenasa ndiyo hii hapa. Watu wananaswa na vingine ila wanajifichia kwa watoto, utasikia ooh mtoto hana kosa, sawa hana kosa kwani ni mtoto wako? Ulitumwa kumhukumu?
Sasa kama machaguo yenyewe ni wajinga tupu wafanyeje? Wamchague yupi? Kumbuka wakati huyo anagonbea, wapinzani wake walikuwa ni Mrema, Mbowe na Lipumba.
Kuwa KIHIYO ni mtu kuujivalisha elimu ambayo hajawahi kuwa nayo kwa lengo la kuuhadaa umma na kujinufaisha binafsi. Kuwa NDUNGURU, ni kuwa katika mamlaka ya kitaaluma kutekeleza majuumu uliyoajiriwa kuyafanya ambayo umesomea lakini hauuna uwezo wa kuyafanya na matokeo yake unasubiri kuambiwa cha...
Ana mamlaka gani juu ya madiwani? Tangu lini DC akawa msimamizi wa madiwani? Anazijua kazi zake kweli? Au ndiyo ulumbukeni? Ubunge wake wa viti maalumu haujawahi kumfundisha chochote?
Endelea mkuu, labda ndiyo ulivyoumbwa utafanyaje sasa? Wengine mna nyota za punda lazima mbebe mizigo.
Halafu usipoendelea kujitolea unatarajia masingo maza watabebwa na nani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.