Recent content by Pac the Don

  1. Pac the Don

    John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

    Ulimsikilliza minister of foreign affairs? Nyie machawa ni wajinga mnoo. Mnawaza malipo ya uchawa tu
  2. Pac the Don

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    Huwez fanya calculation kama hizo kama unataka kumkomboa mtanzania ❌ Yaan unaleta costs comparison? Ni vile hamjawahi kua serious kuleta maendeleo ya kweli Tanzania ❌
  3. Pac the Don

    John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

    Haimaanishi ulihikumiwa its over ❌ hukumu sometimes zina utashi tu wa mtu flan au watu flani!! Hukumu hutetewa kisheria ✔️
  4. Pac the Don

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    Wee dogo mjinga san huna hata aibu kusema nishati saf inapatikana kwa bei nafuu! Garbage ass Nigga!! Wabongo huko wanalalamika wanajaza gas ndogo kwa sh 27000!!
  5. Pac the Don

    Hii ndio sababu Rwanda yenye eneo dogo inatabiriwa kuipita Tanzania kimaendeleo na kijeshi kufikia 2050, endapo Tanzania haitabadilika

    Noo uharamia kweny angle ipi na kwann? Hakuna taifa litaendelea kama limejaa rushwa na ufisadi, tunataman kuiga uchina 🤣🤣🤣🤣🤣. Uchina kuna sheria kali za kufa mtu, iwe rais mpaka raia wa kawaida ukibainika ni kitanzi au maisha yako yote jela!! Je hapo kwenu fisadi au mla rushwa na wapigaji...
  6. Pac the Don

    John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

    Ona naww unakuja na ujinga wako, jibu hoja kisheria na sio kutetea hukumu ❌
  7. Pac the Don

    Maamuzi ya JK kurasimisha bodaboda kuwa ajira, yamegharimu maisha ya watanzania wangapi Hadi Sasa? Je tusitishe ama..

    Na wakapewa jina la kisiasa eti maafisa usafirishaji 🤣🤣🤣🤣
  8. Pac the Don

    Kipanya: Mtakuja kulia! Wachina hawaji kwa bahati mbaya, ni mpango wa Makusudi

    Kama mchina ameona kuna loop hole kwann asiitumie...
  9. Pac the Don

    Mtandao wa Siri

    Point yako ni aidha unajua au unataka kujua, basi kama Taifa haliko salama. Kama watu watateka na kuua watu na dola haielewi ni akina nan bas Taifa haliko salama!!
  10. Pac the Don

    Hoja za TAL baada ya Katuga kuongea siku ya hukumu zimenifanya nimfananishe TAL na AI

    Kwamba unataka umfyonze kimba lote sio 🤣🤣🤣
  11. Pac the Don

    Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Kazi bure tu hakuna wa kushtakiwa, kikubwa ni kuwabaini na kuwasema mpaka waone aibu ✔️
Back
Top Bottom