Recent content by OwadeKuya

  1. O

    MPYA Je, Matumizi ya Pampers kwa Watoto wa Kiume Husababisha Uume Kuwa Mdogo?

    Je, madai kwamba Pampers husababisha wavulana kuwa na uume mdogo yana ukweli wowote wa kitabibu, au ni dhana isiyo na msingi wa kisayansi?
  2. O

    Askofu Mkuu Muheria Aonya Makatekista Wanaoruhusu Wanasiasa Kuhutubia Kanisani

    Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Nyeri, Anthony Muheria, amewaonya makatekista dhidi ya kuwaruhusu wanasiasa kutumia nafasi za ibada kuhutubia waumini. Askofu huyo amesema makatekista watakaowaruhusu wanasiasa kuzungumza kanisani watakabiliwa na hatua za kinidhamu, ikiwemo kufutwa...
  3. O

    Mwanafunzi wa KCSE Afariki Homa Bay Baada ya Kunywa Kemikali ya Maabara

    A rule that many students take for granted
  4. O

    Afisa wa Gavana Natembeya Ashambuliwa kwa Mapanga, Gari Lake Lachomwa Moto

    Political tention iko juu sana naomba tu kila kitu kiwe sawa mwaka ujao
  5. O

    Afisa wa Gavana Natembeya Ashambuliwa kwa Mapanga, Gari Lake Lachomwa Moto

    Afisa wa mawasiliano katika ofisi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, Amos Boaz Masika, anapokea matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja mjini Eldoret baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha usiku wa Jumatatu, Novemba 16, 2026. Kwa mujibu wa taarifa za...
  6. O

    Familia za Watu Waliotekwa Mombasa Zatafuta Haki Mahakamani

    Familia za watu waliopotea katika mazingira yanayoshukiwa kuwa ya utekaji nyara katika Kaunti ya Mombasa zimechukua hatua ya kutafuta haki kupitia mahakama, zikizitaka mamlaka za usalama kueleza mahali walipo wapendwa wao. Familia hizo zinasema zimekuwa zikikabiliwa na maswali mengi bila kupata...
  7. O

    Mwanafunzi wa KCSE Afariki Homa Bay Baada ya Kunywa Kemikali ya Maabara

    Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa akifanya mtihani wa Cheti cha Elimu ya Sekondari (KCSE) katika Shule ya Upili ya St Stephine Angi’ro, Kaunti ya Homa Bay, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kemikali ya ethanol iliyokuwa ikitumika katika maabara ya shule. John Otieno Okinyi...
  8. O

    Mafuriko Yakata Barabara ya Nairobi-Garissa, Wasafiri Wakwama Mwingi

    Usafiri kwenye Barabara kuu ya Nairobi-Garissa umekatizwa kufuatia mafuriko makubwa katika eneo la Daraja la Baharini (Mbakini), Mwingi, Kaunti ya Kitui. Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha maji kufurika na kufanya barabara hiyo kutopitika, huku magari yakikwama na kusababisha foleni...
  9. O

    Rais Ruto Aonya Viongozi Dhidi ya Siasa za Chuki na Ukabila

    Rais William Ruto amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia siasa zinazochochea chuki, migawanyiko na ukabila nchini Kenya. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Narok, Rais Ruto alisisitiza umuhimu wa viongozi kuhubiri umoja na kudumisha amani miongoni mwa Wakenya badala ya kutumia...
Back
Top Bottom