Recent content by Otorong'ong'o

  1. O

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    Hivyo unakiri aliyetoa amri ya kuua ni Samia kwakuwa alitaka kudhihirisha kuwa yeye si mpeche mpeche
  2. O

    Kama kweli hizo video za "connection" za wanafunzi ni "spinning" zimelenga kuhamisha mjadala, wahusika wanaua Taifa

    kama waliwezaa kuua maelfu ya watanganyika Oct 29 hiyo ya ngono ni kitu kidogo sana kwao
  3. O

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Jaji Ndunguru kwenye hukumu ya Lissu alosema Hakukuwa na Uchaguzi kwa kuwa lissu alifanya uchochezi na watu hawakwenda kupiga kura
  4. O

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Majaji walisema Lissu alifanya uchochezi na kuzuia Uchaguzi... Hivyo hakukuwa na uchaguzi mwaka 2025... Hao unawaona wamejipachika madra kwa kumwaga damu kwemye mauaji ya Halaiki kupata kutokea toka Dunia iumbwe
  5. O

    Kama kweli hizo video za "connection" za wanafunzi ni "spinning" zimelenga kuhamisha mjadala, wahusika wanaua Taifa

    Hata zile za wale waliomaliza kidato cha nne zilikuja makusudi kuelekea kwenye kesi ya lisu..
  6. O

    Kama Tunataka Taifa Lipone, Samia Amwombe Msamaha Lissu, Awaombe Msamaha Watanzania

    Samia anatakiwa kufungwa kifungo cha Maisha kama si kunyongwa
  7. O

    Mbowe alitoka gerezani kwa jitihada za lissu, kwanini Heche hafanyi jitihada za kumtoa Lissu?

    Hapigiwi mtu magoti... Na haluna Maridhiano ya anina yoyote mpaka hay a yafanyike 1. Nani alitoa amri ya kuua (Shoot to Kill) 2. miili ya Watanganyika zaidi ya elfu kumi ipo wapi..??? 3. Walioua, aliyetoa mari ya kuua, mpaka laiyefyatua risasi wawajibishwe. 4. Uchaguzi mkuu urudiwe 5. Katiba mpya
  8. O

    Mbowe alitoka gerezani kwa jitihada za lissu, kwanini Heche hafanyi jitihada za kumtoa Lissu?

    Lissu menyewe maesema atatoka kwa haki na sio kwa kupiga magoti...
  9. O

    Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

    Hii ni code
  10. O

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Aliyekwambis Lissu anataka msamaha ni nani??? Kwa kosa gani...???
Back
Top Bottom