**
Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ni miongoni mwa Viongozi Mashuhuri waliozaliwa mwezi wa Oktoba, ambapo alizaliwa tarehe 29.10.1959, Rais wa Rwanda Paul Kagame alizaliwa tarehe 23.10.1957, Rais wa Kenya Uhuru M. Kenyatta naye alizaliwa tarehe 26.10.1961.
Rais wa Liberia Ellen...
Itanishangaza kama maoni yangu niliyoyatoa ya kutengua uteuzi Wa Mkurugenzi Wa Halmashauri ya Misungwi Bwana Eliud Yatapuuzwa.CWT hongereni kwa hatua ya awali! Haiwezekani kuongozwa na kiongozi kama huyu kana kwamba kazi hiyo hamkuisomea,ni kheri kufukuzwa kazi kuliko kurudishwa utumwani.
Ni...
Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio
mengine nchini? Ukitaka kujua kunya anye kuku akinya bata kaharisha basi chukua tukio hili linalovuma sasa nchini kuhusu walimu mafunzoni waliomuadhibu mwanafunzi huko mbeya.
Kila mtu anasema lake kila raia anasema lake
kisa kuna jina mwalimu, nauona...
tokea litokee tukio la kupigwa kinyama mwanafunzi wa MBEYA day sec ndio umekua mjadala MKUBWA kupitia vyombo vya HABARI na Mitandao ya kijamii,wengi wao wamekosoa sana Na kuwaita walimu majina ya kila Aina,Wengine hata Viongozi serikalini wameingilia sakata ili kujitengenezea umaarufu,nataka...
Na. Abdallah Yusuph Juma, yabduljuma72@yahoo.com
Inashangaza na kusikitisha sana. Juzi Alhamisi tarehe 06 Oktoba 2016 Mwenyekiti wa CUF kwa tiketi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Prof. Lipumba aliripoti benki ya NMB katika tawi la Ilala na kuwasilisha nyaraka mbalimbali ili afunguliwe akaunti ya...
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG.
Kwa taarifa zilizopo katika mtandao wa VIP Beats nchini marekani...
***************************
Samuel Kanyon Doe alizaliwa May 6, 1951 jijini Tuzon, nchini Liberia.
Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17 kilijipenyeza ndani ya makazi ya Rais jijini Monrovia.
Ikulu walimkuta Rais William Tolbert bado amelala... Wakamuua... Aliyeongoza...
Katika hali isiyo ya Kawaida na Surprise kwa Mafansi wake Msanii Mkongwe na Mfalme wa Bongofleva ALIKIBA AU KINGKIBA,Yaaani Yule Mwana dar es salaam @officialalikiba ametua Nchini Kenya bila taarifa yeyote ile Kuhusu analokwenda kufanya huko ila Kupitia mitandao mbalimbali Alikiba amepostiwa...
*Hii inatoa picha sio nzuri*
Tokea lile tukio la uvamizi wa bank ya crdb huko mbade na nchi yetu kupoteza askari kadhaa katika tukio hilo,nimekuwa nikiona katika mitandao ya kijamii na hata mitaani watanzania wenye akili zilizopoteza utu na ubinadamu wakipongeza tukio hilo lililopoteza binadamu...
SERIKALI KUPITIA POLISI KUZUIA WANAKIUKA
SHERIA NA KATIBA.
.
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi ibara ya 3 (1)
inasema kuwa “Jamhuri ya Muungano ni Nchi ya
Kidemokrasia na ya kijamaa! isiyokuwa na
dini,yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya
siasa.
.
Aidha , kwa mujibu wa Sheria namba 5 ya Vyama
vya...
Na Profesa Joseph Mbele
Nimeona nianzishe mjadala wa suala linalovuma wakati huu nchini Tanzania, ambalo ni: Je, Rais Magufuli ni dikteta uchwara?
Tundu Lissu, mwanasheria wa CHADEMA ndiye mwanzilishi wa dhana hii ya kwamba Rais Magufuli ni dikteta uchwara.
Kwa kuanzia, ninapenda kuwashutumu...
Napenda kutumia fursa hii kwa kurejelea mazuri ya kiutawala kutoka kwa mmoja wa viongozi jasiri duniani. Ujasiri ninaozungumzia ni ule wa kubadili akili za viongozi wenzake pamoja na akili za wananchi wake.
Mimi namrejelea António de Oliveira Salazar, Waziri Mkuu wa 100 wa Ureno. Huyu...
`Kuna mambo mawili ya lazima katika demokrasi,ukiyakosa hayo demokrasia hakuna.
La kwanza:
Ni kwamba kila mtu lazima aweze kusema kwa uhuru kabisa na maneno ya kila mtu lazima yasikilizwe.
'hata kama maneno ya mtu huyo hayapendwi kiasi gani,au walio wengi wanamdhania amepotoka kiasi gani si...
KUKAMATWA KWA TUNDU LISSU LEO.
Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumaliza mkutano huko Singida
--------- Ujumbe alioandika Tundu Lissu-----huu hapa -
Wakubwa sana salaam. Ninawaandikieni maneno haya nikiwa chini ya ulinzi wa polisi Singida.
Nimemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.