Recent content by Opticnerve

  1. O

    Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

    Ningemuelewa kama angegusia nusu ya watanzani ni wapiga kura!nchi hii dash inavitimbi sana!yaan watu million 37 wamejiandikisha kupiga kura idadi ya watz million 70+,huwa hatufi tz
  2. O

    Taasisi ya Elimu Tanzania lipeni posho za walimu

    Kabla ya shule kufunguliwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) iliitisha semina kwa walimu wanaofundisha kidato cha V na VI nchi nzima, kuanzia 21-22/06/2025 katika vituo mbalimbali kwa kila wilaya. Semina hiyo ilihusiana na kuwajengea uwezo walimu kuhusiana na mtaala ulioboreshwa na ni kama...
Back
Top Bottom